The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Wakuu habari ya wakti huu.
Nina mwanamke wangu ambae anapata maumivu makali sana wakati wa kufanya ngono, hata penetration ni issue. Ukufanikiwa ku-penetrate bado analalamika maumivu makali.
Kwa ujumla uume ukigusa tu ukeni anaanza kulalamika maumivu makali.
Amewahi kwenda kwa specialist kule Kairuki wakamchunguza hawakuona tatizo lolote, akaambiwa hana tatizo lolote labda uoga ama ukosefu wa maandalizi ya kutosha. Tumejitahidi kufanya maandalizi ya kutosha lakini wapi tatizo liko pale pale.
Naomba msaada wenu, nimpeleke wapi huyu mrembo apate tiba, natamani nimsaidie apone ama hili tatizo lipungue kama sio kuisha. Maumivu hua yanasababisha tunaahirisha mechi katikati.
Ikitokea tukafanya round moja ya kwanza ambayo haichukui muda sana, round ya pili ni mtihani, ni almost kama hua hatufanyi na hiyo moja ni after days.
Natanguliza shukran.