Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha maduka ya kawaida au farmacy wacha undezi mkuuInapatikana maduka ya kawaida au farmacy mkuu
Vipi kuhusu zile za kampuni ya forever mkuu?Tumia sensodyne dawa ya meno, afu uje ulete mrejesho hapa
Kuwa specific Burhani IPO mkoa gani wilaya gani umejibu as if Mimi na wewe tunakaa jirani au mtaa mmojaNenda Burhan Hospital...kama ufahamu ilipo fika stesheni waulize wenyeji hapo....ukifika reception eleza shida yako kisha utaekekezwa chumba namba....na huko utamkuta docta kijana..mtaratibu..msikivu..amejaaliwa kipaji cha Ung'ozi. (Watoto hasa ndio mashuhuda) amewangoa na wengine kupewa ushauri kabla ya kung'oa..fika utatupa majibu....Anaitwa docta Juma.
Mkuu sorry ila nimeshangaa kuona unauliza iyo dawa inapatikana kwenye maduka ya kawaida,wakat dawa zote zinapatikana farmacyHuwa sipendi matusi ila nayajua sana us in I irritate! Kuna ndezi anajua kuandika na kusoma? Hold back your nasty language
Wewe huwa mjinga sana hujawahi kununua Colgate au whitedent au panadol au asprin kwenye maduka ya kawaida?Mkuu sorry ila nimeshangaa kuona unauliza iyo dawa inapatikana kwenye maduka ya kawaida,wakat dawa zote zinapatikana farmacy
Sensodyne inapatikana kwenye maduka mengi ya kawaida siyo lazima pharmacy.Mkuu sorry ila nimeshangaa kuona unauliza iyo dawa inapatikana kwenye maduka ya kawaida,wakat dawa zote zinapatikana farmacy
ina nguvu yoyote wanavuta wateja tu.Tumia sensodyne dawa ya meno, afu uje ulete mrejesho hapa
The best 1 japo ni ghaliVipi kuhusu zile za kampuni ya forever mkuu?
hiyo senso dyne ni km colgate tu.Sijakuelewa mkuu