Tatizo la meno

Tatizo la meno

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
10,965
Reaction score
5,339
Wakuu naomba mnisaidie tatizo la meno yanatingishika lakini hayaumi inaonekana yamelegea. Tatizo ni nini na dawa yake nini ili yawe imara tena? Wale mliozoea jokes na kejeli hebu mtulie nahitaji msaada
 
Nenda Burhan Hospital...kama ufahamu ilipo fika stesheni waulize wenyeji hapo....ukifika reception eleza shida yako kisha utaekekezwa chumba namba....na huko utamkuta docta kijana..mtaratibu..msikivu..amejaaliwa kipaji cha Ung'ozi. (Watoto hasa ndio mashuhuda) amewangoa na wengine kupewa ushauri kabla ya kung'oa..fika utatupa majibu....Anaitwa docta Juma.
 
Nenda hospital tu hauna jinsi maana meno kulegea ni hatari.
 
Hahahaha maduka ya kawaida au farmacy wacha undezi mkuu
Huwa sipendi matusi ila nayajua sana us in I irritate! Kuna ndezi anajua kuandika na kusoma? Hold back your nasty language
 
Nenda Burhan Hospital...kama ufahamu ilipo fika stesheni waulize wenyeji hapo....ukifika reception eleza shida yako kisha utaekekezwa chumba namba....na huko utamkuta docta kijana..mtaratibu..msikivu..amejaaliwa kipaji cha Ung'ozi. (Watoto hasa ndio mashuhuda) amewangoa na wengine kupewa ushauri kabla ya kung'oa..fika utatupa majibu....Anaitwa docta Juma.
Kuwa specific Burhani IPO mkoa gani wilaya gani umejibu as if Mimi na wewe tunakaa jirani au mtaa mmoja
 
Huwa sipendi matusi ila nayajua sana us in I irritate! Kuna ndezi anajua kuandika na kusoma? Hold back your nasty language
Mkuu sorry ila nimeshangaa kuona unauliza iyo dawa inapatikana kwenye maduka ya kawaida,wakat dawa zote zinapatikana farmacy
 
Wewe huwa mjinga sana hujawahi kununua Colgate au whitedent au panadol au asprin kwenye maduka ya kawaida?
 
Mkuu sorry ila nimeshangaa kuona unauliza iyo dawa inapatikana kwenye maduka ya kawaida,wakat dawa zote zinapatikana farmacy
Sensodyne inapatikana kwenye maduka mengi ya kawaida siyo lazima pharmacy.
 
Nitumie dawa gani ili meno yawe meupe maana kama ni mswaki napiga kila siku sasa hii njano sijui inatokana na nini naombeni msaada nimimi kwa hilo
 
Back
Top Bottom