Tatizo la mfumo wa Luku, Mbunge Kingu ahisi ilikuwa ni 'Sabotage' kwa Serikali

Tatizo la mfumo wa Luku, Mbunge Kingu ahisi ilikuwa ni 'Sabotage' kwa Serikali

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Akiwa Bungeni mkoani Dodoma, Mbunge Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza Waziri wa Nishati kwa Kazi kubwa anayoifanya na kushangazwa na sintafahamu iliyotokea kwenye mfumo wa Luku na kwa upande wake alihisi ni 'Sabotage' kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi.

Amempongeza Waziri kwa hatua ya kuwasimamisha kazi. Pia amempongeza Rais Samia kwa kusaini mkataba wa bilioni 300 katika siku chache madarakani kuzalisha umeme mkoani Kigoma.

 
Back
Top Bottom