Mhhh mkuu ila hilo nalo neno ngoja nikapime na kisukariDalili za kisukari ni pamoja na miguu kuwaka moto hii inaashiria kuwa nerve zako zimeathirika za upande wa miguu..na sukari ikizidi kwenye damu mate lia huwa mazito na wakati mwingine mdomo kukauka mate.
Mi nilikuwa naskia dalili kama hizi, sahv zimepungua, mi ni mtu wa mazoezi but kwa miezi kama mitanog sijapiga mazoezi.Kuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo
Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
Dalili zingine za kuongezea ni kizunguzungu japo si wakati wote ila wakati mwingine nikilala usiku mwili hushtuka mithili ya MTU aliyepigwa na shoti ya UMEMEKuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo
Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
Sawa mkuu ushauri wako nimeupokeaItakua kuna dawa unatumia kwa mda mrefu, afu haunywi Maji. Kunywa Maji Lita 3 kwa Siku afu uje ulete mrejesho apa baada ya mwezi.
Utakuwa na low blood pressure. Nenda kapimeNdugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Kwa tatizo la tumbo kuunguruma kunywa maji kila siku asubuhi kabla ya kula chochote then ulete mrejesho hapa baada ya miezi miwili.Mmmmmmmh
Kumbe tupo wengi wenye haya matatizo. Pia mwenye kunisaidia dawa ya tumbo kuunguruma muda wote hasa kipindi nikiwa nimelala. Tatizo langu ni la muda mrefu toka nasoma kidato cha nne hadi leo nina miaka 33. Nimejaribu kila aina ya dawa siyo hospital ama kienyeji bado tatizo linaendelea
Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina[/Q
Tumia Vitamin B6 (pyridoxine) hiyo hali itaisha pia ni vema ukapima kiwango cha Sukari mwilini
Kapime kiwango cha sukari kwenye damu( Blood glucose), pima pressure isije ikawa una shinikizo la damu( Blood pressure), pima na kaswende (VDRL)
Mkuu haupo peke yako haswa kwenye miguu kuwaka moto. Nilishawahi omba ushauri hapa na michanga ya mawazo ilikuwa mingi lakin haikunisaidia kuna mmoja alinishuri nitumie tramadol lakin ilikuwa isaidia kwa mtu tu.Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina