Mleta mada hujatoa maelezo yote ndiyo maana watu tunashindwa kuelewa tatizo lako ni nini haswa.
1.Umri wako
2.KE au me
3.Umepima sukari.
4.Una tatizo la presure.
5.Mgongo unauma.
6.Una shida yeyeyo kwenye kujisaidia haja ndogo au kubwa.
7.Unasikia ganzi muda gani.
8.Vitu gani unafanya ili ganzi ipungue.
9.kadri siku zinavyokwenda,shida inaongezeka,inapungua au iko palepale?
10.Unasikia maumivu miguuni na miguu kukosa nguvu au ni ganzi tu?
11.Unafanya kazi gani?
12.shida inakuwepo usiku ukiwa umelala?
13.Shida ilianza baada ya kufanya nini,eg.Ajali,kuugua etc