Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Habari wana jf naomba kuuliza kuwa la tatizo la kuhisi maumivu ya kuwaka moto kwenye miguu husababishwa na nini?
 
Habari wana jf naomba kuuliza kuwa la tatizo la kuhisi maumivu ya kuwaka moto kwenye miguu husababishwa na nini?
Acha pombe kali...check pressure na speciffically check cholesteral. Hiyo ndio tatizo haswa
 
Kwa sasa niko na mwezi hili tatizo lanisumbua. Mguu wa mkono kulia kufa ganzi na kuwaka moto na kuhisi kama kuna miba inachomachoma.

Natumia mafuta ya karafuu na pia nimeambiwa nipunguze ulaji nyama. Nahisi nafuu kiasi, vipi kuna mtu ana tiba nzuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado aisee.
Dawa yake ni Ganoderma lucidam au chai ya majani ya mlonge .Ila Hiyo Ganoderma lucidam Ni Bora zaidi unapona baada ya dakika chache toka utumie.Nijuze upo wapi mkuu
 
Dawa yake ni Ganoderma lucidam au chai ya majani ya mlonge .Ila Hiyo Ganoderma lucidam Ni Bora zaidi unapona baada ya dakika chache toka utumie.Nijuze upo wapi mkuu
Nipo shinyanga
 
Dawa yake ni Ganoderma lucidam au chai ya majani ya mlonge .Ila Hiyo Ganoderma lucidam Ni Bora zaidi unapona baada ya dakika chache toka utumie.Nijuze upo wapi mkuu
Hiyo Ganoderma nini?
yaani namaanisha ni vidonge au ni nini?
msaada wako mkuu, tafadhali!
 
Mm nilikuwa na hili tatizo hadi nilikuwa siwezi vaa viatu kabisa so nakushauri uende hospital ukaonger na doctor but kama atakuwa anajua atakupa dawa inaitwa NAT B a huge dose mm nilikwenda kairuki nishapona now viatu navaa as usual
Thanks to doctors
 
Umesema NAT B?
 
Na mm pia miguu inawaka moto, pia juu ya kiuno Kwa nyuma nahic mauniv makal ya viungo naomben uxhaur
 
Embu kwanza mkeo anatakiwa akapime Roundom glucose test(RBG) level kuroll out diabete ama kisukari pia kapime na burcellor test kuroll out burcelosis pia kama miguu inawaka moto kwnye unyayo tunaweza tuka kwere gaut kwa kula nyma ya mbuzi sana pia ukiona tatizo bado usisite kumuona neurologist huenda akawa na tatzo kwny masuala ya neuropathy wakati alipokuwa amefanyiwa oparation kwny fimoral nevers zikawa afected ama cirtic nevers zimepata shida matibabu

1..mpe strong antibiotics yeyote kuroll out anyinfenction
2...neurobin injenction ama neuroton tabs itamsaidia
3..mpe Ibrufein tabs ama pyroscum 500mg kama antipain
4...mfanyie follow up...
 
I have never reviewed a product before but these time I was definitely gave reviewed to orthofeet product which gave me new life.

I used orthofeet shoes from last 4 month which was very comfortable with great looks, I recommended this shoes, everyone.I Loved Orthofeet. It has quality, comfortableness and stylish shoes.

Orthofeet continues make great shoes for feet problem.
 
Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya miguu kuwaka moto chini ya nyayo na kufa ganzi kwa mama mwenye umri wa miaka 70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…