Nilikuwa na tatizo kama lako. Nenda hosptal kapime uric acid.
Ilianza hivyo hvyo magoti kusuguana mwishowe magot yakaanza kuuma pamoja na misuli nimekula NAT B hadi zimeninukia vby. Nilipopimwa URIC ACID nikakutwa nayo imezidi. Nikaanza kutumia dawa ALLOPRINAL uric acid ikashuka na magoti yakaacha kuuma na kusuguana kwa sasa niko poa kbs. Magoti husumbua endapo uzito mkubwa lkn mim nilikuwa na 69kg nikawa nashangaa kwann kumbe uric acid imezidi kiasi, uric acid iliongezeka kwa kula nyama ya ng'ombe mfululizo.
KAPIME URIC ACID.
Sent using
Jamii Forums mobile app