Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya miguu kuwaka moto chini ya nyayo na kufa ganzi kwa mama mwenye umri wa miaka 70
Mkuu jaribu kumpima sukari uone...
Pia akaonane na gynaecologist maana moja ya compocations za menopause ndio hizo
 
Kwa wale wanaowaka moto miguu,ganzi na viuongo kukacha nendeni Kariakoo pale zinapopanga foleni gari za Tegeta kuna wapemba wanauza dawa za kuchua;chukua dawa inaitwa MIRSH MASSAGE OIL itawasaidia.

Mimi imenisaidia na Bi Mkubwa alikuwa hawezi ata kuchuchumaa na kutembea lakini baada ya kutumia iyo yupo safi. Being zao no Tsh 3000 na 5000 nakuendelea.
 
MIGUU KUWAKA MOTO ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo kama kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni hivyo kupoteza uwezo wa utendaji kazi wa neva miguuni, sababu zingine ni kama kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu, kuwa na sumu nyingi mwilini,kurithi au mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO
Ugonjwa huu unadalili nyingi zikiwemo;

Kuhisi ganzi, kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni,kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani,joto Kali miguuni,kuhisi kama unaungua miguuni,kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.

VITU/ MAMBO YANAYOWEZA KUPELEKEA MTU MIGUU YAKE KUWAKA MOTO
Kuna mambo mengi sana yakiwemo;
~UZITO MKUBWA WA MWILI(hii husababisha uti wa Mgongo kukaa tofauti na unavyostahili hivyo baadhi ya neva kukandamizwa na uzito wa mwili au misuli hivyo kusababisha miguu kupata maumivu na kufa ganzi.

~Matumizi ya baadhi za Dawa zenye chemikali kwa muda mrefu au Mara kwa Mara mfano Dawa za TB, HIV n.k

~UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO MWILINI HASA MKUSANYIKO WA VITAMINI B( VITAMINI B COMPLEX)

~MAGONJWA YA KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU, MAGOTI ,MZIO NA FANGASI

~MATATIZO YA MOYO

~MATATIZO KATIKA MISHIPA YA DAMU

~ULEVI WA KUPINDUKIA KWA MUDA MREFU

KUEPUKA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO

~KUWA NA UZITO UNAOENDANA NA KIMOCHAKO

~FANYA MAZOEZI YA MWILI

~KULA CHAKULA KINACHOKUPATIA VIRUTUBISHO MWILINI HASA VITAMINI B COMPLEX

~USAFI WA VIATU, SOX NA MIGUU

~ ONDOA SUMU AU KEMIKALI MWILINI MARA KWA MARA

MATIBABU
KUNA DAWA INAITWA CRYSTALL CELL HUBORESHA NERVES NA KUIMARISHA SELI ZILIARDHIRIWA NA MAGONJWA TOFAUTITOFAAUTI

~KULA VYAKULA VYENYE MKUSANYIKO WA VITAMINI B ZA KUTOSHA(B COMPLEX)

~ FANYA MAZOEZI YA MWILI KAMA KUKIMBIA, KUTEMBEA N.K PIA KUFANYA MASSAGING.
~PUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA

~TUMBUKIZA MIGUU KATIKA MAJI VUGUVUGU YENYE CHUMVI

~TIBU MARADHI YA KISUKARI HAKIKISHA SUKARI IPO SAWA

~ONDOA SUMU MWILINI KWA VITU VISIVYO NA KEMIKALI

~CHUA MIGUU YAKO KWA VITU VINAVYO PUNGUZA MAUMIVU,VINAVYO SAIDIA MZUNGUKO WA DAMU KUWA VIZURI (paka Asali mbichi, shubiri na limau)

KWA USHAURI ZA NI TAFUTE INBOX NA JINSI YA KUPATA HII DAWA
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu.
 
Duuh namimi hi inanitesa sana yaani visigino vinauma balaa sometimes nashindwaga kabisa kutembea
 
NINGEPENDA KUJUA HII DAWA YAKO INAITWAJE
 
Mimi miguu haiwaki moto ila nina maumivu makali sana kuanzia sehemu ya goti hadi chini kwenye kifundo, please naomba msaada wa dawa
 
Maelezo uliotoa yote ndio shida inayonisumbua hasa,nifanyaje ili nipone naomba ushauri
 
Ktk hivyo ulivyoongezea Mimi nyumba ya began hapaumi,tumbo halijai gesi na kichwa hakiumi ila hayo mengine ninayapata + aliyoyasema mdau hapo juu
 
Magoti yangu yanauma takribani kwa miezi 2 sasa tangu kubaini tatizo hili. Na hivi karibu kila nikikunja magoti kuna mlio unasikika toka magotini kama vitu vinasugua huku kukiambata na maumivu makali yanayosababisha nisiweze kukunja au kunyoosha magoti ghafla.

Naomba utaalamu wenu nitumie tiba gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na tatizo kama lako. Nenda hosptal kapime uric acid.
Ilianza hivyo hvyo magoti kusuguana mwishowe magot yakaanza kuuma pamoja na misuli nimekula NAT B hadi zimeninukia vby. Nilipopimwa URIC ACID nikakutwa nayo imezidi.

Nikaanza kutumia dawa ALLOPRINAL uric acid ikashuka na magoti yakaacha kuuma na kusuguana kwa sasa niko poa kbs.

Magoti husumbua endapo uzito mkubwa lkn mim nilikuwa na 69kg nikawa nashangaa kwann kumbe uric acid imezidi kiasi, uric acid iliongezeka kwa kula nyama ya ng'ombe mfululizo.
KAPIME URIC ACID.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya ganzi miguu na mikono,msaada tafadhari tusaidiane wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya ganzi miguu na mikono,msaada tafadhari tusaidiane wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Ganzi kafanye vipimo hv
1. Moyo
2. Figo
3. HIV
4. Kafanye tambiko.

Ukifanya vipimo hivyo na ukakuta uko sawa kila moja basi hamia kwenye tiba asili.

Matatizo hayo huambatana na nguvu za asili hasa kwa watu wenye matambiko kwao. Kaa na wazazi wako ama watu wenye kujua asili yenu watakusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mdau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…