Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Mkuu umepona tatizo la miguu kuwaka moto kwa kutumia hiyo NAT-B tu? Nina tatizo hili la miguu kuwaka moto kwa muda mrefu sana...almost 6 years. Nmekata tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia dawa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepima juzi juzi nimekutwa na tatizo hilo hilo la Uric acid natumia dawa hizo hizo ila naona napona taratibu sana maana kila nikitoka mazoezini nasikia kama napata changamoto tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Mimi shida yangu ni tofauti na miguu, ni miezi miwili sasa ikifika wakati wa usiku jicho langu la upande wa kushoto mwishoni kabisa mwa jicho huwa naona mwanga unajitokeza kama vile mtu kapitisha mwanga wa tochi ghafla unatoweka.

inaweza kunitokea Mara mbili au tatu kwa wakati wa usiku, hii hali inanitesa wenye kujua anisaidie hii ni nini na ninaipuka vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepima juzi juzi nimekutwa na tatizo hilo hilo la Uric acid natumia dawa hizo hizo ila naona napona taratibu sana maana kila nikitoka mazoezini nasikia kama napata changamoto tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo dawa ni long term dawa. Utatumia muda mrefu angalau miezi 3 ila pia kila mwezi ni muhim kupima ili kujua kiasi ya URIC ACID kilichobak. Pia ucfanye mazoezi kiasi ukajiumiza, fanya mazoezi ya kawaida ama fanya leo kesho pumzika utakuwa sawa.

Huo sio ugonjwa wa kupona ndani ya cku chache. Itakuchukua muda mrefu kuwa na subra ndg.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ishu ya ganzi nawepata dawa nikapona kabisa? Msaada tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…