Mabobish
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 367
- 282
Hakika ushauri huu umenishibisha sana, ahsante JF kisiwa cha maarifa na busaraAhsante sana kwa ushauri wangu ndg yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ushauri huu umenishibisha sana, ahsante JF kisiwa cha maarifa na busaraAhsante sana kwa ushauri wangu ndg yangu
Pole....Mmtafute prof matuja au nenda family care upanga....naweza pm # yake pia uki hitajiHakika ushauri huu umenishibisha sana, ahsante JF kisiwa cha maarifa na busara
Ahsante Mshana kitunguu swaumu kiwe kiasi gani?Chemsha maji changanya na kitunguu saumu na chumvi loweka miguu kwa nususaa kila siku kwa siku saba
Unakunywa pombe?Nina kilo 75
Nadhani vipimo hivi naweza kupata hospital ya Rufaa ya Kanda MbeyaHuu ushauri umeshiba ndio maana naipenda jf.pengine ushauri kama huu ili uupate pesa lazima ikutoke
unapendekeza hospitali gani na gani ambapo wataalamu wa hivyo vipimo wanapatikana
Huwa nakunywa weekends tu yaani jumamosi na jumapili tuUnakunywa pombe?
Punguza mawazo mkuuNaomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
hata mimi nasumbuliwa na hili tatizo. langu linaongezeka na kifua kuumaNaomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
Ulitumia dawa gani mdau?Inaitwa peripheral neuropathy umenitesa sana huu ugonjwa unaweza kutamani miguu ikatwe but I'm okay now
Thank you very much ndg,nitazingatia ushauri wako mzuriNenda hosp
Acha sigara, punguza pombe au acha....
waeleze wenzio ulifanyaje mkuu ?Inaitwa peripheral neuropathy umenitesa sana huu ugonjwa unaweza kutamani miguu ikatwe but I'm okay now
HVI! Duuh!Bahati mbaya sana hata Neurologists nchi hii ni wachache tena unakuta hospital kubwa aliyepo ana Bsc.Neurology pekee hata vifaa vya kupimia tu hakuna zaidi ya yeye kukuchomachoma visindano huko unyayoni...
Sasa una faida gani uliyochangia ktk Uzi huu? Hiyo okay yako imemsaidiaje mleta Uzi?Inaitwa peripheral neuropathy umenitesa sana huu ugonjwa unaweza kutamani miguu ikatwe but I'm okay now
Mdogo wangu na dada yangu walipata hli tatizo, yani mdogo wangu ilikuwa analia usiku kucha, ila walikuja kutumia neurobics zikawasaidia na leo wako sawa ila kipindi cha baridi ni mwendo wa kuvaa soksiNaomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini