Mabobish
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 367
- 282
Ahsante ndgPole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante ndgPole sana
Kwa hospital kubwa mikoa yote Tanzania vipi. Hofu ni kuwa mikoa yote haina hospital za maana. Kwa walio DSM ni Muhimbili, Regency, Hindumandal, TMJ ndiyo angalao. Ukiwa na Bima ya Afya ya kulipiwa na mwajiri utapata vipimo vingi hapo ila cha nerves kuna kimoja atalipia.Huu ushauri umeshiba ndio maana naipenda jf.pengine ushauri kama huu ili uupate pesa lazima ikutoke
unapendekeza hospitali gani na gani ambapo wataalamu wa hivyo vipimo wanapatikana
Sema ulichofanya ukapona ili usaidie wengine. Ndiyo upendo na kujali. ShukraniInaitwa peripheral neuropathy umenitesa sana huu ugonjwa unaweza kutamani miguu ikatwe but I'm okay now
Dr M shana katika ubora wake. Tupe kipimo kitunguu saumu punje ngapi? Unavisaga au vizima? Chumvi na maji kiasi gani?Chemsha maji changanya na kitunguu saumu na chumvi loweka miguu kwa nususaa kila siku kwa siku saba
Hivi ukitoa huo msaada hapa kwa faida ya wote so itasaidia zaidi? Tunashukuru uwe mkarimuMzunguko wa damu mwilini hauko sawa. Nitafute kwa message private nikuelekeze namna ya kutatua changamoto hii
Nenda hospital pima thyroid function na Cortisol levels (stress hormone)Duuh namimi hi inanitesa sana yaani visigino vinauma balaa sometimes nashindwaga kabisa kutembea
Nimeku pm namba ya specialist anaitwa matujaAhsante ndg
Ahsante sana Kiongozi,Mungu akubarikiNimeku pm namba ya specialist anaitwa matuja
We bonga naye
Ova
Habari mkuu,hebu nijuze dawa gani zimekusaidia tafadhari nimetingwa sanaInaitwa peripheral neuropathy umenitesa sana huu ugonjwa unaweza kutamani miguu ikatwe but I'm okay now
Bahati mbaya sana hata Neurologists nchi hii ni wachache tena unakuta hospital kubwa aliyepo ana Bsc.Neurology pekee hata vifaa vya kupimia tu hakuna zaidi ya yeye kukuchomachoma visindano huko unyayoni...
Vipi ushapona? Dawa gani zimekusaidia?Pole sana, mie pia nimeteswa sana na tatzo hili hadi kufanyiwa upasuaji ili kuondoa compressiob ktk spine
Nenda Hospitali kapime Damu yako itaonyesha huenda una upungufu waVitamin na Madini mwilini huenda una upungufu wa Madini ya chuma Au upungufu wa Vitamin B12 au Vitamin C utakapo pima ndipo itakapo onyesha Sababu ya maradhi yako unayo umwa.za mihangaiko mabibi Na mabwana,Mimi ni kijana mwenye miaka 31 ni me nimekubwa na tatizo la miguu kuwaka moto hata kwenye vidole vya mguuni,baada ya tatizo nilikwenda hospital Na kupima pressure Na Sukari lakini majibu ya vipimo yalionesha kwamba sikuwa na tatizo kwa iyo nikapewa kutumia dawa za neurobin forte zenye mkusanyiko wa vitamin b12.dawa zilinisaidia kutuliza maumivu lakini bado hali inatokea mara moja moja .naomba msaada wa taarifa kwa mdau yeyote anayeweza nisaidia nini nifanye.Napatikana ilala nitashukuru kwa michango yenu
Kinondoni sehemu gani mkuu?Mdogo wangu aliwah kupatwa na hilo tatizo, miguu ilikua inawaka moto + homa usiku halali hadi ikafikia kipind viatu vya kufunika hawezi kuvaa.
Tulihangaika hospital akipimwa tatizo halionekani, kuna mtu akatushauri tujaribu tiba ya natural herbs akatuelekeza kinondoni kulikua na kituo cha afya cha wasabato tukampeleka akapatiwa dozi na tatizo likapona halijawahi kurudi.
Sina uhakika kama bado wapo hadi leo maana ilikua 2011/12