Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Hello, mshipa wa damu wa kichwani kwangu upande wa kushoto karibu na utosi unanitia mashaka kwa maana nahisi damu kupita hapo kwa pressure kubwa mpaka nasikia mshipa ukitikisika.
Inanitokea kama mara 5 kwa siku tangu juzi, naombeni ushauri waungwana wenzangu.
Inanitokea kama mara 5 kwa siku tangu juzi, naombeni ushauri waungwana wenzangu.