Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
- Thread starter
- #41
Wewe ni hamnazo aka Abunuasi.
Tapeli ujambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni hamnazo aka Abunuasi.
Tapeli mchanga wewe.nenda feri kawape chakula mizimu yako (misukule)
inawezekana hiyo hatua yako ndio unaelekea kuwa msukule sasa...
Dah! kumbe kuna biblia ya babu yangu tena, si umeona sasa umeanza kuchanganyikiwa...Biblia ya babu yako ndio imeandikwa msukule wewe tapeli? tapeli,mzinzi,mchafu,mwizi,muongo mtu wa kuzimu chini ya bahari.
Nahisi kama ni V.I.c catch!!!!!!
Dah! kumbe kuna biblia ya babu yangu tena, si umeona sasa umeanza kuchanganyikiwa...
Dah! kumbe kuna biblia ya babu yangu tena, si umeona sasa umeanza kuchanganyikiwa...
Wewe tapeli ebu kwenda huko.sitaki upuuzi wako.
Tapeli? nilishakutapeli nini?Nenda katapeli wazazi wako mimi nishashtuka.tapeli wewe.
niende wapi wakati nimekuja kukupa msaada... kweli itakuweka huru...
ungejua hivyo usingeweka hapa kuomba msaada, ungeenda kumuomba mama yako mzazi, ila umeamua kuleta hapa ili usaidiwe...Kampe mamako mzazi.
niende wapi wakati nimekuja kukupa msaada... kweli itakuweka huru...
he he he lol....utakuwa unaaza kupata wazim unahitaji antipsycotics jaribu olanzapine au risperidone....
ungejua hivyo usingeweka hapa kuomba msaada, ungeenda kumuomba mama yako mzazi, ila umeamua kuleta hapa ili usaidiwe...
inaweza ikawa ile ya nabii hana heshima kwao, ndio hii sasa...Kampe mamako mzazi.wewe kweli unaijua wewe? ungezini na mke wa mtu? ungegawa roho za kuzimu? ungekuwa nabii wa uongo?
Mmh, humtakii mema mwenzako, unataka augeuze mwili wake panya/ngedere wa maabara:A S 13:
Yeyote anaweza akakusaidia...Nimeomba madokta na sio MATAPELI KAMA WEWE.
inaweza ikawa ile ya nabii hana heshima kwao, ndio hii sasa...
Unajua unahitaji msaada wa haraka kama title yako inavyosema haya we cheza sasa...Nabii wa uzinifu! nabii wa mizimu! nabii mwizi! nabii wa kishetani.nenda kwako kuzimu hapa huna nafasi.