Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
- Thread starter
- #61
Yeyote anaweza akakusaidia...
Sitaki msaada wa kwenda kuzimu huko kwako,nyang'au wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyote anaweza akakusaidia...
kwani maelezo yako yamesema unahitaji msaada wa kwenda kuzimu? we umesema unahitaji msaada wa mshipa wa kichwa kucheza mara tatu kwa siku, na yeyote anaweza akakusaidia hilo tatizo lako... au mshipa umecheza mpaka akili zimetikisika?Sitaki msaada wa kwenda kuzimu huko kwako,nyang'au wewe.
kwani maelezo yako yamesema unahitaji msaada wa kwenda kuzimu? we umesema unahitaji msaada wa mshipa wa kichwa kucheza mara tatu kwa siku, na yeyote anaweza akakusaidia hilo tatizo lako... au mshipa umecheza mpaka akili zimetikisika?
kwa hiyo kumbe unachagua watu wa kukupa misaada? halafu mi sio muabudu shetani...Sitaki misaada ya waabudu shetani kama wewe.
kwa hiyo kumbe unachagua watu wa kukupa misaada? halafu mi sio muabudu shetani...
Okay achana na hayo, vipi hali yako inaendeleaje tatizo la mshipa linaendelea au limeacha? umeamkaje pia?Wewe ni muabudu shetani na ndio maana una ROHO YA UZINZI NA WAKE ZA WATU,UTAPELI,UGAWAJI WA ROHO MTAKA TOTOZZ,UCHAWI NA WIZI YOTE HAYA YANAFANYIKA UWANJANI HUKO TANGANYIKA PACKERS.
Okay achana na hayo, vipi hali yako inaendeleaje tatizo la mshipa linaendelea au limeacha? umeamkaje pia?
na dawa zipi ulizotumia?
Mbasha hana hilo Tatizo wewe ndio mwenye tatizo la huo mshipa huo wa damu na ndio maana umeleta hapa ili uweze kusaidiwa! Tafadhali jibu hayo maswali yangu...Kamuulize Mbasha uliemnyang'anya mke.
Mbasha hana hilo Tatizo wewe ndio mwenye tatizo la huo mshipa huo wa damu na ndio maana umeleta hapa ili uweze kusaidiwa! Tafadhali jibu hayo maswali yangu...
Mke wangu hajambo, haya sasa turudi kwenye topic unaendeleaje kwa sasa? na dawa zipi umetumia? au tatizo tayari limekwisha isha?Mkeo hajambo?
Mke wangu hajambo, haya sasa turudi kwenye topic unaendeleaje kwa sasa? na dawa zipi umetumia? au tatizo tayari limekwisha isha?
Inabidi ukawaone na madaktari wa akili, wazipime waangalie kama zipo sawa, yaani mke wangu akiwa mzima wewe ndio unafurahi? basi endelea kufurahi yeah, mke ni mzima...Kama mkeo hajambo ni furaha moyoni mwangu.
Inabidi ukawaone na madaktari wa akili, wazipime waangalie kama zipo sawa, yaani mke wangu akiwa mzima wewe ndio unafurahi? basi endelea kufurahi yeah, mke ni mzima...
sina mashetani! umeshaanza kuwa insane...Vipi mashetani yako nayo hayajambo?
sina mashetani! umeshaanza kuwa insane...
nafikiri tayari utakuwa umechanganyikiwa...Usione aibu kukiri una mashetani wakati kila mtu anajua Tanganyika Packers ni kituo cha Lucifer (ibilisi) na wewe ndio unaemtumia kufanya maajabu ya uongo (mazingaombwe) kuzini na wake za watu na utapeli.
nafikiri tayari utakuwa umechanganyikiwa...