Tatizo la mishipa ya damu

Tatizo la mishipa ya damu

Sitaki msaada wa kwenda kuzimu huko kwako,nyang'au wewe.
kwani maelezo yako yamesema unahitaji msaada wa kwenda kuzimu? we umesema unahitaji msaada wa mshipa wa kichwa kucheza mara tatu kwa siku, na yeyote anaweza akakusaidia hilo tatizo lako... au mshipa umecheza mpaka akili zimetikisika?
 
Sitaki misaada ya waabudu shetani kama wewe.
 
kwa hiyo kumbe unachagua watu wa kukupa misaada? halafu mi sio muabudu shetani...

Wewe ni muabudu shetani na ndio maana una ROHO YA UZINZI NA WAKE ZA WATU,UTAPELI,UGAWAJI WA ROHO MTAKA TOTOZZ,UCHAWI NA WIZI YOTE HAYA YANAFANYIKA UWANJANI HUKO TANGANYIKA PACKERS.
 
Okay achana na hayo, vipi hali yako inaendeleaje tatizo la mshipa linaendelea au limeacha? umeamkaje pia?

na dawa zipi ulizotumia?
 
Kama mkeo hajambo ni furaha moyoni mwangu.
Inabidi ukawaone na madaktari wa akili, wazipime waangalie kama zipo sawa, yaani mke wangu akiwa mzima wewe ndio unafurahi? basi endelea kufurahi yeah, mke ni mzima...
 
Vipi mashetani yako nayo hayajambo?
 
sina mashetani! umeshaanza kuwa insane...

Usione aibu kukiri una mashetani wakati kila mtu anajua Tanganyika Packers ni kituo cha Lucifer (ibilisi) na wewe ndio unaemtumia kufanya maajabu ya uongo (mazingaombwe) kuzini na wake za watu na utapeli.
 
nafikiri tayari utakuwa umechanganyikiwa...
 
Back
Top Bottom