Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Umeshaandika mirathi?
muoneee dkt
Hello! Mshipa wa damu wa kichwani kwangu upande wa kushoto karibu na utosi unanitia mashaka kwa maana nahisi damu kupita hapo kwa pressure kubwa mpaka nasikia mshipa ukitikisika na inanitokea kama mara 5 kwa siku tangu juzi.naombeni ushauri waungwana wenzangu.
Tatizo hilo kitaalam linaitwa signathus. Tafuta kijana yeyote hapo mtaani kwenu akutie kitu kigumu kwenye makalio. Asitumie nguvu. Ukipona urudi kutoa ushuhuda ili na wengine wapate faida
Tatizo hilo kitaalam linaitwa signathus. Tafuta kijana yeyote hapo mtaani kwenu akutie kitu kigumu kwenye makalio. Asitumie nguvu. Ukipona urudi kutoa ushuhuda ili na wengine wapate faida
kapime pressure kjn, kamuone dr wa moyo
he he he lol....utakuwa unaaza kupata wazim unahitaji antipsycotics jaribu olanzapine au risperidone....
Sasa doctor antipsycotics na hiyo nyingine ndio nini? Na hili dalili za ugonjwa gani?
Antipsycotic ni dawa za psychosis kama schizophernia,maniac, bipolar disoder,anxiety n.k nimekwambia dalili za wazim hujaelewa?
Pole sana, hiyo inawezekana kabisa ikawa migrane (kipanda uso) kinasababishwa na vitu mbali mbali ikiwa na msongo wa mawazo, kutokulala vizuri usiku, na mengineyo, pia inawezekana ikawa dalili ya high blood pressure nakushauri ukamwone specialist wa internal medicine, atakusaidia,, kwa sasa kacheki pressure kama ipo sawa meza dawa ya maumivu kama ibuprofen kisha ujaribu kulala na kupumzika ndo uende hospitali....Get well soon
Asante sana doctor kwa ushauri mzuri,Mungu akubariki ila kichwa hakiumi kabisa na nikweli nina mawazo makali sana kuanzia last week ila kuanzia leo nime solve tatizo,alafu huwa nalala saa 7 usiku naamka 11.
Nafurahi kujua umepata nafuu ila jaribu kulala muda mrefu na kupunguza mawazo, migrane ni mbaya sana madhara yake ya baadae si mazuri...
Madhara yake ya baadae yanaleta nini? uwe wazi tu mimi siogopi kifo ila tahadhari ni muhimu ukizingatia nishampokea YESU.
Kama umempokea YESU na unaishi ndani yake na yeye Ndani yako muombe akupe amani na atakuponya kabisa... unaweza sababisha kupasuka kwa mishipa midogo yaa damu na kukuletea high blood pressure. ila kiri uzima, kwa kupigwa kwake YESU tumepata kupona.... ubarikiwe, kiri UZIMA