Tatizo la moyo kwenda kasi sana usiku nikilala

Asante mkuu,ngoja leo nijaribu lala mlango wazi kesho nitaleta mrejesho

Mkuu maswala la kulala mlango wazi unaweza kuibiwa kila kitu mwishoe wakakuiba mpaka wewe mwenyewe
 
Salam Jf!
Naomba msaada wa tatizo nililonalo ambalo naona siku zinavyozidi kwenda linaongezeka sana.
Huwa nikilala usiku nikishtuka usingizini nakuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana. Hadi muda mwingine nakuwa kama nataka kushindwa kupumua.
Naomba msaada kwa wataalamu wa Afya tafadhali

kama hufanyi kazi Bandarini basi TRA.(Joking)
Mkuu fanya ufike hospital uonane na mtaalam wa moyo au fika muhimbili utapata msaada wakupime mapigo na kasi ya moyo pia wacheki veins kama ziko kawaida au zimetanuka.
 
Salam Jf!
Naomba msaada wa tatizo nililonalo ambalo naona siku zinavyozidi kwenda linaongezeka sana.
Huwa nikilala usiku nikishtuka usingizini nakuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana. Hadi muda mwingine nakuwa kama nataka kushindwa kupumua.
Naomba msaada kwa wataalamu wa Afya tafadhali
Mkuu wakwetu ngirini hiyo ni dalili una maradhi ya Heart Attack jaribu kila unapo lala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha lala na ikikutokea unapo amka usingizini tumia dawa hii hapa

Shinikizo la damu (high blood pressure):

Changanya kijiko kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa iliyosagwa, kijiko kimoja cha Asali safi na kitunguu Saumu kiasi kidogo. Chukua mchanganyo kunywa Au waweza kabla ya kufungua kinywa kila asubuhi kwa muda wa siku ishirini.

nigellaseedcontents3.jpg
 
Last edited by a moderator:
usiku hamna foleni kwa hiyo moyo unajioverdrive!
 
Teh! simple answers to difficult questions,ok thanks

okonkwo jr;
May be that was a simple answer to yu, but to the one bearing the load, it was an answer. Even a straw is a life saving tool to a drowning man.
 
Mkuu wakwetu ngirini hiyo ni dalili una maradhi ya Heart Attack jaribu kila unapo lala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha lala na ikikutokea unapo amka usingizini tumia dawa hii hapa

Shinikizo la damu (high blood pressure):

Changanya kijiko kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa iliyosagwa, kijiko kimoja cha Asali safi na kitunguu Saumu kiasi kidogo. Chukua mchanganyo kunywa Au waweza kabla ya kufungua kinywa kila asubuhi kwa muda wa siku ishirini.

nigellaseedcontents3.jpg
Asanteni kwa ushauri mkuu mzizimkavu.
Naomba kujua hii Habatt-sawdaa naweza ipata wadi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom