Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Asante mkuu,ngoja leo nijaribu lala mlango wazi kesho nitaleta mrejesho
Mkuu maswala la kulala mlango wazi unaweza kuibiwa kila kitu mwishoe wakakuiba mpaka wewe mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu,ngoja leo nijaribu lala mlango wazi kesho nitaleta mrejesho
Salam Jf!
Naomba msaada wa tatizo nililonalo ambalo naona siku zinavyozidi kwenda linaongezeka sana.
Huwa nikilala usiku nikishtuka usingizini nakuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana. Hadi muda mwingine nakuwa kama nataka kushindwa kupumua.
Naomba msaada kwa wataalamu wa Afya tafadhali
Mkuu wakwetu ngirini hiyo ni dalili una maradhi ya Heart Attack jaribu kila unapo lala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha lala na ikikutokea unapo amka usingizini tumia dawa hii hapaSalam Jf!
Naomba msaada wa tatizo nililonalo ambalo naona siku zinavyozidi kwenda linaongezeka sana.
Huwa nikilala usiku nikishtuka usingizini nakuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana. Hadi muda mwingine nakuwa kama nataka kushindwa kupumua.
Naomba msaada kwa wataalamu wa Afya tafadhali
Mkuu maswala la kulala mlango wazi unaweza kuibiwa kila kitu mwishoe wakakuiba mpaka wewe mwenyewe
Niko ndani ya gheti zito
Teh! simple answers to difficult questions,ok thanks
Asanteni kwa ushauri mkuu mzizimkavu.Mkuu wakwetu ngirini hiyo ni dalili una maradhi ya Heart Attack jaribu kila unapo lala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha lala na ikikutokea unapo amka usingizini tumia dawa hii hapa
Shinikizo la damu (high blood pressure):
Changanya kijiko kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa iliyosagwa, kijiko kimoja cha Asali safi na kitunguu Saumu kiasi kidogo. Chukua mchanganyo kunywa Au waweza kabla ya kufungua kinywa kila asubuhi kwa muda wa siku ishirini.
![]()