Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Panya Buku wa Lumumba naona mnahaha kututoa kwenye kashfa ya Arusha..
Hamchomoki kenge nyie
Hamchomoki kenge nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahangaika mpaka wanatia hurumaMataahira wa lumumba mtahangaika sana kuuchomoa huo mjiti mliochomwa na Lema dadeki
Tupo Arusha sasa hivi panya nyie....Chadema mlifanya kosa kubwa sana kumsafisha lowasa mbele ya watanzania wanafki ninaowajua mimi..penye unafki kuna uerevu.na sasa mtavuna mlichopanda maana hakuna namna
Mkuu umesoma vizuri mada yangu?Mkuu Menigitis, hapo umekiri wazi kuwa wezi, wahalifu, mafisadi na wala rushwa wako CCM; sasa sijui ni kwa nini usiunganishe nguvu tupambane nao? Kujua ugonjwa au tatizo ni 50% ya tiba.
Sijaelewa vizuri tatizo lako kwa walichofanya jana akina Joshua Nassari ni lipi hapo.
Je una maana kwa vile wale madiwani waliohongwa na CCM na kuachia nafasi zao wangeachwa kimya kimya bila chanzo cha matukio yale kuchunguzwa? Au je ulitaka baada ya uchunguzi kukamilika akina Nassari wakae kimya tu kwa vile wala rushwa wamerejea zizini kwao (CCM)?
Pia sijawahi kusikia kusajiliwa au kuwepo kwa hicho chama.
Vipi hapo unalenga kujenga au kubomoa mkuu?
Bila shaka CHADEMA kina madhaifu mengi, vyama vya upinzani vina madhaifu mengi tu LAKINI ukijumlisha udhaifu wote wa vyama vyote vya upinzani haufiki 10% ya udhaifu wa CCM. Udhaifu wa CCM ni mkubwa na ndio sababu ya udumavu uliopo Tanzania iwe ni kiuchumi, kisiasa, kielimu, kiafya nk nk
Ana akili finyu kweli huyu!
Hatutachoka kukumbusha ilimradi mrudi kwenye misingi isiyo na chembe za ulaghai na unafiki.Tupo Arusha sasa hivi panya nyie....
Mnadhani mtatutoa kwenye reli.....
Mada za panya buku wa Lumumba tumeamua kuzipuuza...Hatutachoka kukumbusha ilimradi mrudi kwenye misingi isiyo na chembe za ulaghai na unafiki.
Panya buku wa Lumumba waliohamia ufipa unawajua?Mada za panya buku wa Lumumba tumeamua kuzipuuza...
Panya buku wa Lumumba waliohamia ufipa unawajua?
... Labda kwa wale waliokuwa hawajabalehe katika siasa hasa kuanzia 2010 ni vyema wakatambua kuwa hapo kabla CHADEMA chini ya Dr Slaa kama katibu walianzisha harakati za kimkakati za kusaka wanachama kutoka kwenye jamii ya wasio wanachama wa vyama vingine vya siasa.
Swali lako hapo chini ni la msingi sana!Ni kweli mleta uzi kitendo cha cdm kuwakubali hao wanachama toka ccm ni kosa kubwa la kiufundi kwani walijifunza kosa kwa Shibuda. Ila inaonekana cdm hawakijufunza kwenye kosa lile na sasa ndio wakalirudia zaidi kiasi kwamba kwenye uwanja wa propaganda wamepigwa bao.
Pamoja na udhaifu/kosa hilo la cdm hiyo haihalalishi ccm wawarudishe wanachama wake kwa rushwa. Sasa hapa tunachoona ni ccm inayatoa rushwa kupitia serekali na cdm inayopokea rushwa kupitia madiwani wanaohama. Je katika mazingira haya rais anaweza kusimama hadharani akasema anapambana na rushwa?
njaa kali hata wa ccm wakipewa watapokeaTulipokuwa tunapinga lowassa asipokelewe CHADEMA kimagumashi kama ilivyofanyika tuliona mbali sana.
Tulichokuwa tunakipinga ni kurasimisha usanii ,ulaghai na ulaji rushwa.
Labda kwa wale waliokuwa hawajabalehe katika siasa hasa kuanzia 2010 ni vyema wakatambua kuwa hapo kabla CHADEMA chini ya Dr Slaa kama katibu walianzisha harakati za kimkakati za kusaka wanachama kutoka kwenye jamii ya wasio wanachama wa vyama vingine vya siasa.
mkakati huu ulikuwa mzuri na ulijengwa na hoja kuu ya kwamba CCM ni mafisadi na wala rushwa.
mkakati huu uliifanya CHADEMA kupendwa na kuungwa mkono na wengi mimi nikiwemo.
Mwaka 2015 baada ya gia ya angani kuwekwa tulishuhudia mafisadi ya CCM yakihamia CHADEMA na kupewa nafasi za kugombea uongozi katika level mbalimbali kuanzia Urais hadi uenyekiti wa kitongoji.
Hakukuwa na scrutiny yoyote zaidi ya kuhongana na uongozi wa CHADEMA kushindwa kusimamia principles za chama.
Matokeo yake wezi,wahalifu,mafisadi na wala rushwa wote waliofurushwa CCM wakavaa joho jeupe lenye kola nyekundu na kugeuzwa kuwa wagombea huku wafia chama mithili ya Dr Slaa wakidhihakiwa na kuitwa wasaliti waliopewa rushwa na CCM.
Leo hii wezi,wala rushwa na wahalifu waliokuwa CCM wanapoamua kurudi walipotoka Ndio kina Nassari na lema wanakuja kutulilia tena ...This is pathetic!!
Mlifungia majini kwenye chupa sasa yanatoka mnaturudia sisi wananchi??
Poleni sana na mmechelewa ni bora tubaki na chama chenye mafisadi na waadilifu ambacho kikiamua kinaweza kuwashughulikia mafisadi.
Leo hii Mnyeti na Gambo wakihamia CHADEMA tutaambiwa wamekiri na waneingoka...wakiondoka tena mtasema wamehongwa ...huo mchezo wenu wa kitoto umefika mwisho ...pambaneni na hali yenu.
Haitasaidia kutulalamikia na kutuobesha bongo movies za 2008...mnachotakiwa kukifanya ni kusafisha panya wote mliowakaribisha chumbani mkianza na panya buku !
Mada hii ni kwa ajili ya CHADEMA asili
Tofauti yangu mimi na wewe ni hapo unapotaka kutuaminisha kuwa siasa ni karata...Ni kosa kubwa alilolifanya mwenyekitu na linaigharimu chadema hadi leo.Mkuu, kama wewe ni muumini wa mifumo, utakuwa katika njia sahihi. Lakini kama wewe ni muumini wa watu, utayumbishwa sana. Kama unaona Dr. Slaa pekee ndio rejea ya mafanikio ya CHADEMA, ukumbuke pia wapo walioamini Lipumba ndio rejea ya mafanikio ya CUF. Ukimfuata mtu, ipo siku atabadilika halafu utabaki njia panda. Hebu fikiria waliokuwa waumini wa Lipumba, leo wako katika hali gani kimaamuzi? Anafukuza wabunge wa chama chake!
Ukisimamia mfumo, yeyote anayetaka kuungana nawe wala hutapata shida kumkaribisha. Umpokee lakini atafuata mstari wa mfumo. Kama chama kinakataa wanacchama wapya kwa kisingizio 'walikuwa wala rushwa', basi ina maana itafika mahali unaweza kushindwa kuongeza idadi ya wapiga kura wako. Siasa ni upepo na karata, haina principle maalum. Nani alijua leo Nape ataziponda Bomberdier? Usikariri watu, kariri mfumo!
Walotoka kwenye ufisadi kuja kutakaswaPanya buku wa Lumumba waliohamia ufipa unawajua?
Wapo waliohongeka na wapo waliocheza dili waonekane wamehongeka, na hawa ndio wanaofanya mjadala huu uwe moto. Hao wanaoweza kuhongeka kiukweli wapo pande zote Sema tu hajapatikana mtu wa CHADEMA kuwahonga madiwani wa CCM, lakini nakwambia matazamio ya madiwani wengi yamekuwa tofauti maana macho yamekuwa mengi na hakuna kujigawia zabuni, na wengi wanajuta kugombea udiwani kwani haulipi chochote zaidi ya hasara. Sasa akipatikana mtu wa kumuhonga diwani aachie ngazi kwa milioni 20, wengi wataachia tena yawezekana CCM wakawa wengi wao. Kuhongeka ni tabia (zilizochangia msukumo wa kugombea), na wala si chama... Kama unaamini katika Siasa ni karata basi waache CCM wacheze karata zao...yaani waendelee kuhonga wanaohongeka na hakuna haja ya kutoa kilio....
Swali lako hapo chini ni la msingi sana!
Ingawa Hata Rais aweza kuamua kukaa kimya kwa kuwa shutuma kwa CCM ni zile zile ..
alipokuja kwa style ya kuwabadilikia watoa na wala Rushwa tulimbeza na tukaanza kuwatetea mafisadi.
Ndio maana nikaja na swali la msingi je ni kweli Chadema ina taka kuirejea vita hiyo?
Je Chadema ipo tayari kubeba gharama ya vita hiyo?
Moja ya gharama ya vita hiyo kwa Chadema ni kuondoa wote walioingia wakiwa na madoa ya ufisadi wakianza na yule fisadi kuu waliomtaja kwenye famous list of Shame ,kumbuka aliambatana na panya wengi ambao leo hii tunawalalamikia kurudi CCM.