Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa kama shabiki wa kutupwa huwezi kuiacha timu yako iangamie !Kwahiyo unataka kusema rais ameona bora aendelee na rushwa kwani chama chake kimezoeleka kwa hilo na kwa kuwa cdm ipo na watuhumiwa wa rushwa na kinawatetea? Utetezi dhaifu.
Mimi sio kiongozi wala mwanachama wa cdm bali ni shabiki wake wa kutupwa, ila nijuavyo chama chochote kina mfumo wake wa nidhamu hivyo sijui ni hatua gani cdm kinawachukulia wanachama wenye tuhuma mbalimbali. Kama cdm wanataka kuirudia au kuiendeleza vita hiyo wanachama na viongozi wake ndio wenye jibu.
CDM ipeleke ushahidi wa wala rushwa wote sio hao wachache...hiyo ni hatua ya kwanza.Cdm imepeleka ushahidi Takukuru utaona kama ccm itawachukulia hatua yoyote sasa
Unauhakika kuwa aliyemleta lowasa ni slaa na slaa ndo alisema hivo?njoo na uthibitisho.Naiamini sana CHADEMA,yawezekana viongozi walidhani kwa njia hiyo ni sahihi,tunajifunza na makosa,hope wamejifunza tunaenda mbele.
Pili aliyemleta Lowassa si Mbowe bali ni Dr.Slaa,nenda kasikilize ile hotuba yake aliyoitoa mara ya kwanza aliposema sababu za kuondoka.ALikubali kwamba yeye ndiye aliyemleta Lowassa,amemeleta mgeni halafu akamkimbia mgeni hivyo hata Dr.Slaa si wa kumwamini pia.
Ukiwa kama shabiki wa kutupwa huwezi kuiacha timu yako iangamie !
Waeleze ukweli na kweli tupu bila kuwaogopa!
Waeleze wasimame kwenye misingi ambayo iliwafanya hadi leo tunawaongelea.
Misingi ya unusunusu sio misingi ...misingi hujengwa kwa mfumo wa all or none au 0-1 kukaa katikati ni unafiki jambo ambalo halihitajiki katika kuendeleza nchi.
Nadhani pro CDM wengi humu jamvini watakuelewa.Kusema ukweli tunasema lakini maamuzi ni ya wanachama ndio wenye wajibu wa kubadili penye tatizo. Ukweli huu tunawaambia hata ccm ila kwa ukali zaidi maana ndio wenye dhamana ya kukusanya hela zetu. Hao cdm hata wasipobadilika ni shida yao maana wataishia kuanika nguo kavu kwani hawako madarakani.
Unauhakika kuwa aliyemleta lowasa ni slaa na slaa ndo alisema hivo?njoo na uthibitisho.
Ukileta uthibitisho ntaomba nipigwe ban mwaka mzima. We una ahidi nn ukishindwa kuthibitisha?Ninauhakika sababu nilimsikia kwa amsikio yangu mawili
Nilipokua shule, niliambiwa meningitis ni ugonjwa mbaya sana. Go take your pillsTulipokuwa tunapinga lowassa asipokelewe CHADEMA kimagumashi kama ilivyofanyika tuliona mbali sana.
Tulichokuwa tunakipinga ni kurasimisha usanii ,ulaghai na ulaji rushwa.
Labda kwa wale waliokuwa hawajabalehe katika siasa hasa kuanzia 2010 ni vyema wakatambua kuwa hapo kabla CHADEMA chini ya Dr Slaa kama katibu walianzisha harakati za kimkakati za kusaka wanachama kutoka kwenye jamii ya wasio wanachama wa vyama vingine vya siasa.
mkakati huu ulikuwa mzuri na ulijengwa na hoja kuu ya kwamba CCM ni mafisadi na wala rushwa.
mkakati huu uliifanya CHADEMA kupendwa na kuungwa mkono na wengi mimi nikiwemo.
Mwaka 2015 baada ya gia ya angani kuwekwa tulishuhudia mafisadi ya CCM yakihamia CHADEMA na kupewa nafasi za kugombea uongozi katika level mbalimbali kuanzia Urais hadi uenyekiti wa kitongoji.
Hakukuwa na scrutiny yoyote zaidi ya kuhongana na uongozi wa CHADEMA kushindwa kusimamia principles za chama.
Matokeo yake wezi,wahalifu,mafisadi na wala rushwa wote waliofurushwa CCM wakavaa joho jeupe lenye kola nyekundu na kugeuzwa kuwa wagombea huku wafia chama mithili ya Dr Slaa wakidhihakiwa na kuitwa wasaliti waliopewa rushwa na CCM.
Leo hii wezi,wala rushwa na wahalifu waliokuwa CCM wanapoamua kurudi walipotoka Ndio kina Nassari na lema wanakuja kutulilia tena ...This is pathetic!!
Mlifungia majini kwenye chupa sasa yanatoka mnaturudia sisi wananchi??
Poleni sana na mmechelewa ni bora tubaki na chama chenye mafisadi na waadilifu ambacho kikiamua kinaweza kuwashughulikia mafisadi.
Leo hii Mnyeti na Gambo wakihamia CHADEMA tutaambiwa wamekiri na waneingoka...wakiondoka tena mtasema wamehongwa ...huo mchezo wenu wa kitoto umefika mwisho ...pambaneni na hali yenu.
Haitasaidia kutulalamikia na kutuobesha bongo movies za 2008...mnachotakiwa kukifanya ni kusafisha panya wote mliowakaribisha chumbani mkianza na panya buku !
Mada hii ni kwa ajili ya CHADEMA asili
Unaweza kuwataja kwa majina na magereza waliyopo?Matokeo yake wezi,wahalifu,mafisadi na wala rushwa wote waliofurushwa CCM wakavaa joho jeupe lenye kola nyekundu na kugeuzwa kuwa wagombea huku wafia chama mithili ya Dr Slaa wakidhihakiwa na kuitwa wasaliti waliopewa rushwa na CCM.
Ukileta uthibitisho ntaomba nipigwe ban mwaka mzima. We una ahidi nn ukishindwa kuthibitisha?
Lete uthibitisho hapa wanajukwaa waone. Mmegeuza hili jukwaa la udaku. Kata hata hako kaclip kalete hapa.Kuthibitisha nend akasilize siku alipokuwa anaongelea ukimya wake.Tena alisema alimtafuta Mbowe usiku ili wakae chini amwelezee ujio wa Lowassa,just go and listen my brother.Na mbowe alikataa lakini ilibidi amtafute Gwajima waende kwa Mbowe.
Lete uthibitisho hapa wanajukwaa waone. Mmegeuza hili jukwaa la udaku. Kata hata hako kaclip kalete hapa.
Mkuu huu mda unaotumia kuandika hili povu kwann usitumie kuleta uthibitisho?Kuna Ttz gani?Acha porojo mm nimeenda huko sijapata unachokisema hapa.naomba uniletee uthibitisho hapa wanajukwaa waone.Sina sababu nenda katafute hizo clips zote,na for your information Gwajimwa alikuwa rafiki wa Lowassa na Dr.Slaa,na ndiko walikokuwa wanaenda kusali kwa Gwajima,pole mkuu muwe mnasikiliza mikutano ya hawa wanasiasa vizuri,msije mkawa mnakurupuka tu.
Dr.Slaa alisema kwa mdomo wake kwamba yeye ndiye aliyempeleka Lowassa Chadema,ila sababu UVCCM wanachuki na Mbowe basi kila siku Mbowe kauza Chama kwa Lowassa bila kujua rafiki wa karibu wa Lowassa ni Dr.SLaa.
Mkuu huu mda unaotumia kuandika hili povu kwann usitumie kuleta uthibitisho?Kuna Ttz gani?Acha porojo mm nimeenda huko sijapata unachokisema hapa.naomba uniletee uthibitisho hapa wanajukwaa waone.
Mkuu hili sio jukwaa ambalo unaweza wadanganya watu wote kwa wakati wote. Huna la kuthibitisha na hutakuja thibitisha.Sina sababu ya kuweka wakati unaouwezo wa kutafuta mwenyewe.Sijatoa povu lolote,ni kwa sababu sina muda wa kutafuta hizo clips,lakini akiwa hotelini akiwa anaongea na waandishi wahabari aliongea hivyo.
Ana akili finyu kweli huyu!