Tatizo la msingi la CHADEMA ni kudahili wanachama wala rushwa

Cdm imepeleka ushahidi Takukuru utaona kama ccm itawachukulia hatua yoyote sasa
 
Ukiwa kama shabiki wa kutupwa huwezi kuiacha timu yako iangamie !
Waeleze ukweli na kweli tupu bila kuwaogopa!
Waeleze wasimame kwenye misingi ambayo iliwafanya hadi leo tunawaongelea.
Misingi ya unusunusu sio misingi ...misingi hujengwa kwa mfumo wa all or none au 0-1 kukaa katikati ni unafiki jambo ambalo halihitajiki katika kuendeleza nchi.
 
Cdm imepeleka ushahidi Takukuru utaona kama ccm itawachukulia hatua yoyote sasa
CDM ipeleke ushahidi wa wala rushwa wote sio hao wachache...hiyo ni hatua ya kwanza.

Pili CDM iwawajibishe walarushwa waliomo miongoni mwao ili kumaanisha mapambano dhidi ya rushwa.
 
Unauhakika kuwa aliyemleta lowasa ni slaa na slaa ndo alisema hivo?njoo na uthibitisho.
 
Je chadema kuna soko la madiwani?Nature ya madiwani wa Arusha inareflect tabia HALISI ya viongoz wa chadema ngazi ya juu.Nafikiri CCM walishaona udhaifu wa chadema na moja ya udhaifu walionao ni PESA. So kuwabomoa hawa ni kuwapa hela tu.kwa lugha ya haraka CHADEMA HAKUNA WAZALENDO ZAIDI YA WAPIGA DILI.
 
Kusema ukweli tunasema lakini maamuzi ni ya wanachama ndio wenye wajibu wa kubadili penye tatizo. Ukweli huu tunawaambia hata ccm ila kwa ukali zaidi maana ndio wenye dhamana ya kukusanya hela zetu. Hao cdm hata wasipobadilika ni shida yao maana wataishia kuanika nguo kavu kwani hawako madarakani.
 
Nadhani pro CDM wengi humu jamvini watakuelewa.
By the way ni haki na ni sahihi kuwapigia kelele CCM zaidi ya CDM however ni lazima wanaojipambanunua kama wakombozi wapigiwe kelele zaidi ya mwizi ili wasigeuke kuwa wezi...hatuwezi kutoa mwizi nafuu tukaingiza mwizi afadhali.
Bottom line ni kuwa wezi wote au wa aina yoyote hawatakiwi.

Au basi turudi kwenye mfumo wa chama kimoja huku tukiwa na element za wapiga kelele kuridhisha wahisani???!!
 
Ninauhakika sababu nilimsikia kwa amsikio yangu mawili
Ukileta uthibitisho ntaomba nipigwe ban mwaka mzima. We una ahidi nn ukishindwa kuthibitisha?
 
Nilipokua shule, niliambiwa meningitis ni ugonjwa mbaya sana. Go take your pills
 
Matokeo yake wezi,wahalifu,mafisadi na wala rushwa wote waliofurushwa CCM wakavaa joho jeupe lenye kola nyekundu na kugeuzwa kuwa wagombea huku wafia chama mithili ya Dr Slaa wakidhihakiwa na kuitwa wasaliti waliopewa rushwa na CCM.
Unaweza kuwataja kwa majina na magereza waliyopo?
 
Ukileta uthibitisho ntaomba nipigwe ban mwaka mzima. We una ahidi nn ukishindwa kuthibitisha?

Kuthibitisha nend akasilize siku alipokuwa anaongelea ukimya wake.Tena alisema alimtafuta Mbowe usiku ili wakae chini amwelezee ujio wa Lowassa,just go and listen my brother.Na mbowe alikataa lakini ilibidi amtafute Gwajima waende kwa Mbowe.
 
Lete uthibitisho hapa wanajukwaa waone. Mmegeuza hili jukwaa la udaku. Kata hata hako kaclip kalete hapa.
 
Lete uthibitisho hapa wanajukwaa waone. Mmegeuza hili jukwaa la udaku. Kata hata hako kaclip kalete hapa.

Sina sababu nenda katafute hizo clips zote,na for your information Gwajimwa alikuwa rafiki wa Lowassa na Dr.Slaa,na ndiko walikokuwa wanaenda kusali kwa Gwajima,pole mkuu muwe mnasikiliza mikutano ya hawa wanasiasa vizuri,msije mkawa mnakurupuka tu.

Dr.Slaa alisema kwa mdomo wake kwamba yeye ndiye aliyempeleka Lowassa Chadema,ila sababu UVCCM wanachuki na Mbowe basi kila siku Mbowe kauza Chama kwa Lowassa bila kujua rafiki wa karibu wa Lowassa ni Dr.SLaa.
 
Mkuu huu mda unaotumia kuandika hili povu kwann usitumie kuleta uthibitisho?Kuna Ttz gani?Acha porojo mm nimeenda huko sijapata unachokisema hapa.naomba uniletee uthibitisho hapa wanajukwaa waone.
 
Mkuu huu mda unaotumia kuandika hili povu kwann usitumie kuleta uthibitisho?Kuna Ttz gani?Acha porojo mm nimeenda huko sijapata unachokisema hapa.naomba uniletee uthibitisho hapa wanajukwaa waone.

Sina sababu ya kuweka wakati unaouwezo wa kutafuta mwenyewe.Sijatoa povu lolote,ni kwa sababu sina muda wa kutafuta hizo clips,lakini akiwa hotelini akiwa anaongea na waandishi wahabari aliongea hivyo.
 
Mkuu hili sio jukwaa ambalo unaweza wadanganya watu wote kwa wakati wote. Huna la kuthibitisha na hutakuja thibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…