wenye akili wameshawaelewa kwanini kina safari, mnyika, baregu waliamua kunyamaza
huku Slaa akikataa kupigia debe mafisadi
Zito, Kitila walitolewa kafara kisa umwenyekiti wa Mbowe
Sasa tumaini la Chadema limebaki kwa Tundu Lissu ambaye sioni akidumu pale labda aamue kuwa mpiga zumari wa Mbowe