KANYAGWANDA
Member
- Apr 16, 2023
- 21
- 56
Asante sana kwa ushauri mkuu.Pole sana kwa changamoto unayopitia na mtoto wako. Kutonyonya vizuri mchana kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa, kama vile usumbufu wa mazingira (kelele, mwanga mwingi), uchovu, au hata kipindi cha ukuaji (growth spurt) ambapo wanabadilika kitabia.
Jaribu haya:
✅ Tafuta mazingira tulivu – Punguza kelele na mwanga mwingi wakati wa kunyonyesha mchana.
✅ Mshike kwa njia tofauti – Wakati mwingine kubadilisha pozi la kunyonyesha husaidia.
✅ Mpatie muda – Usimlazimishe, badala yake jaribu mara kwa mara bila shinikizo.
✅ Mwangalie afya yake – Ikiwa anaendelea kukataa, hakikisha hana maambukizi ya masikio, mafua, au tatizo lingine la kiafya.
✅ Endelea kumpa usiku – Kwa kuwa usiku ananyonya vizuri, basi bado anapata maziwa anayohitaji
HahaaHaya uzi umefungwa kila mtu aishie hapa akalale.
Sawa mkuu.Nenda clinic waelezee watakupa majibu.
kama ishu ni kelele basi wakati wa kunyonya zima TV,Sabufa au feni na muache kuongea kwa sauti kwa muda..au labda joto linamsumbua kiasi anakosa rahaAsante sana kwa ushauri mkuu.
Nitajihidi kufanya hivyo.Sioni shida yeyote ya kiafya aliyonayo.Hapo kwenye makelele nadhani upo sahihi zaidi maan akiwa ananyonya akasikia kelele yeyote anashituka na kunyonya kunaishia hapo.
Yes hii njia nimeitumia naona imezaa matunda mkuu.Asante sanakama ishu ni kelele basi wakati wa kunyonya zima TV,Sabufa au feni na muache kuongea kwa sauti kwa muda..au labda joto linamsumbua kiasi anakosa raha