Phobias haina ubabe kabisa
Ni uoga ambao kila kiumbe anakuwa nao na sio kwa kina mama tu
Unaweza kuogopa hata mwanamke eti
(Wapo)
Wengine wanaogopa kujiangalia kwenye kioo,
Hata diddy anogopa Clowns
Mimi huyu kiumbe simpendi kabisa ingawa nimefuga nyoka zamani
Kuna watu wanaogopa kupanda ndege hata Michael Jackson alikuwa mmoja wao.
China walitengeneza daraja la vioo vitupu yaani unapita juu ya glass na unaona miti chini
Kuna watu walikuwa wanatambaa hebu niambie ungepita kama ni wewe?
Kuna mall moja nililiona majuu nikapita juu yake, hapo kila mmoja anawoga wake
Ukinishaangaa mimi utakutana na watu wanaogopa kimvuli chake
Sent from my SM-G570F using Tapatalk