900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
mjusi mkubwa,mende tu ni shidaIla kuna mtu mzima mpaka leo hajazoei mijusi eti, mijusi ile meupe inayokuaga ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mjusi mkubwa,mende tu ni shidaIla kuna mtu mzima mpaka leo hajazoei mijusi eti, mijusi ile meupe inayokuaga ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Pole yako mkuumjusi mkubwa,mende tu ni shida
Hawa na kenge siwapendi kabisa
Weweeee my brother aisehh umenistua huwezi amini, what happened ulimuona wakati wa kupakua aiseehhh umenistua sana mkuu, halafu wanasumu kali yani ungeonja supu tu kwisha habari yakoHawa na kenge siwapendi kabisa
Kwanza kenge huyu
Jamaa alinialika chakula lakini ingawa nilisema nimtolee uvivu lakini alinishinda
Maana alipoanza kupakua ule mchuzi nilipoona vidole na ile nyama inachezacheza nikajua kweli kenge ni aliens (hahaha)
Kiumbe gani unampika masaa bado anatetemeka tu
Halafu nyama nyeusi utafikiri zile sura za kina garang
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli kabisa, hata mm nilikuwa muoga sana hasa usiku ukinituma nenda chumban kafanye hk nalia nasema naogopa lakini nilikuwa natumwa kibabe nenda ntakupiga naenda kwa uoga hadi hali ile ikaisha, kwa hiyo ww usiilee hali yake ya uoga fanya namna ya kumtoa uogaUwe unamsogeza kidogo kidogo baadaye atazoea kumbuka mazoea hujenga tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Are u KE au Me, at last u did congratulationKweli kabisa, hata mm nilikuwa muoga sana hasa usiku ukinituma nenda chumban kafanye hk nalia nasema naogopa lakini nilikuwa natumwa kibabe nenda ntakupiga naenda kwa uoga hadi hali ile ikaisha, kwa hiyo ww usiilee hali yake ya uoga fanya namna ya kumtoa uoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahha hapana Kenge hawana sumu na wanaliwa sana huko mashariki ya kati na hawakuanza leo, yaani tangu enzi za njaa (kabla ya mafuta) na sasa ni kama delicacy food na ukikuta anavyofukuzwa jangwani na GMC utashangaaWeweeee my brother aisehh umenistua huwezi amini, what happened ulimuona wakati wa kupakua aiseehhh umenistua sana mkuu, halafu wanasumu kali yani ungeonja supu tu kwisha habari yako
Sent using Jamii Forums mobile app