Samatime Magari
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 119
- 457
- Thread starter
-
- #21
hilo limeshachunguzwa na hakuna mzazi mwenye uoga unaoendana na uoga wa mtoto, hii ni kumaanisha uoga wa motto umepitilizaMtoto tabia zingine anaiga kutoka kwa wazazi wake na inatokana na jinsia yenyew ya mtoto jicukunguzeni nyie wazazi wenyew then mtajua kaiga kutoka kwa yupi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe akiingia chumbani hata kama ni silaha za maangamizi ni lazima nitumieIla kuna mtu mzima mpaka leo hajazoei mijusi eti, mijusi ile meupe inayokuaga ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Google "Anxiety and fears in Children" ndio uendelee na longolongo yakohilo limeshachunguzwa na hakuna mzazi mwenye uoga unaoendana na uoga wa mtoto, hii ni kumaanisha uoga wa motto umepitiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ahhhhh mkuu ilikuaje unaogapa mijusi, wadada ndiyo wanaogopa wewe ilikuaje na ilianzajeMimi mwenyewe akiingia chumbani hata kama ni silaha za maangamizi ni lazima nitumie
Tena natumia nguvu za ziada utafikiri nchi imevamiwa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Siyo wote bwanaHuyo mtoto jinsia gani?
Kama ni wa kike huwa ni waoga ila kama ni wa kiume huwa hawaogopi. Ipo hivyo.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mnunulie hata toys za wanyama hivi,asante Je huu huoga hauwezi kuleta shida katika ukuaji wa motto hasa hasa kiakili ?
Madalali mnakuaga na veve nyingi sana sasa kitaalam unasababisha syndrome fulani hivi ktk genetics za mtotosijakuelewa mkuu ila hakuna anaetisha motto na unaposema kupunguza ujuaju unamaanisha nini ?
Phobias haina ubabe kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ahhhhh mkuu ilikuaje unaogapa mijusi, wadada ndiyo wanaogopa wewe ilikuaje na ilianzaje
Sent using Jamii Forums mobile app
wazazi sio waoga mkuu
asante kwa ushauriMnunulie hata toys za wanyama hivi,
Halafu mjusi akikatiza muongelee kawaida kama kiumbe asiyetakiwa kuogopwa...
Punguza kushtuka shtuka
πππUnasema mtoto, wapo watu wazima wanaogopa mijusi akiona mjusi anakurukia anakaa juu kama ngedere
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa uwazoeePhobias haina ubabe kabisa
Ni uoga ambao kila kiumbe anakuwa nao na sio kwa kina mama tu
Unaweza kuogopa hata mwanamke eti
(Wapo)
Wengine wanaogopa kujiangalia kwenye kioo,
Hata diddy anogopa Clowns
Mimi huyu kiumbe simpendi kabisa ingawa nimefuga nyoka zamani
Kuna watu wanaogopa kupanda ndege hata Michael Jackson alikuwa mmoja wao.
China walitengeneza daraja la vioo vitupu yaani unapita juu ya glass na unaona miti chini
Kuna watu walikuwa wanatambaa hebu niambie ungepita kama ni wewe?
Kuna mall moja nililiona majuu nikapita juu yake, hapo kila mmoja anawoga wake
Ukinishaangaa mimi utakutana na watu wanaogopa kimvuli chake
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nipo best yangu, habari ya majukumu?