We acha tuPole sana mkuu! ......
Ila mimi nishaanguka mara kibao kitandani..... ila sahivi nimesha achia.We acha tu
Kiswahili kimebadilika na kukua sana.Kumbe uwalaza/kialaza ni kugalagala?Nimeongeza msamiati.Kuhusu maswali yako,nayafanyia kazi.Hivi hili tatizo la mtoto kua na uwalaza(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike.
Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha ukimulaza peke ake lazima umkute uvunguni kadondoka,pia ukilala nae ni full mateke,mara kakulalia wewe,kakuwekea miguu yaani ni vurugu match ata silali Kwa Raha nikapumzika.
Yeyote ambae alishawahi kua na mtoto mwenye shida kama hii alifanyaje fanyaje mpaka likaisha wakuu.
Kwani wewe tafsiri yake ulijua ni nini mana Kila msamiati hu una tafsiri yakeKiswahili kimebadilika na kukua sana.Kumbe uwalaza/kialaza ni kugalagala?Nimeongeza msamiati.Kuhusu maswali yako,nayafanyia kazi.
Ngoja nikasome kwenye "dikishenare" mkuu.Kwani wewe tafsiri yake ulijua ni nini mana Kila msamiati hu una tafsiri yake
Mimi mwenyewe bado nashangaa hapaš«¢Kiswahili kimebadilika na kukua sana.Kumbe uwalaza/kialaza ni kugalagala?Nimeongeza msamiati.Kuhusu maswali yako,nayafanyia kazi.
Na wewe bibi harusi umeshangaa?Mimi mwenyewe bado nashangaa hapaš«¢
Bibi harusi gani tena jamani!Na wewe bibi harusi umeshangaa?
Mamjamaa yanakuzimikia kila siku humu JF.Dawa aliyokupa mama heshima kwake.Bibi harusi gani tena jamani!
Watoto sii wamejaa violence they don't want peace...Hahahaha... huyo mtoto atakua karithi..
Neno uwalaza umelitumia vibaya ,uwalaza ni tatizo la kupoteza nywele kichwaniHivi hili tatizo la mtoto kua na uwalaza(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike.
Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha ukimulaza peke ake lazima umkute uvunguni kadondoka,pia ukilala nae ni full mateke,mara kakulalia wewe,kakuwekea miguu yaani ni vurugu match ata silali Kwa Raha nikapumzika.
Yeyote ambae alishawahi kua na mtoto mwenye shida kama hii alifanyaje fanyaje mpaka likaisha wakuu.
Kwa umri wangu ndivyo nilivyokuwa najua.Kumbe uwalaza ni kugalagala?Neno uwalaza umelitumia vibaya ,uwalaza ni tatizo la kupoteza nywele kichwani