Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,255
1588060156928.png

BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU HALI HII
Wakuu habari,

Bila shaka ulishaona mtu na heshima zake akiwaza kwa kuongea peke yake au wewe mwenyewe ukiwa peke yako iwe nyumbani au barabarani unajikuta unawaza kwa kuongea peke yako. Je, ni dalili za uchizi au ni mojawapo ya kuwaza?
-----
Salam sana!

Bila kupoteza muda. Nina miaka around 30 now naona life inaniumiza sana. Najua hii imechangiwa sana na swala la mahusiano (love love love). Nahisi kama nimekosea hatua muhimu sana katika maisha yangu.. Kuwaza hilo imenifanya niwe nafikiria hata sumu! Imekuwa badala ya Kuwaza namna ya kufanya maendeleo, nachukua mda mreeef sana kulala baada ya kutoka job.

Imefika mahali namfukuza rafiki yangu wa kike toka toka hapa kaa mwenyewe huko japo siko nae yaan hiyo toka toka hapa nakuwa nazungumza mwenyewe! mshana jr amewahi leta thread hapa Wanaoongea peke yao wanazidi kuongezekakweli kwenye hiyo listi nipo. Nipeni msaada nini nifanye ili mawazo hayo ya kujitoa uhai yafe, ama KUZUNGUMZA MWENYEWE ikome, kwa sababu imefika mahali nawaza then nafika mahali natoa neno kwa sauti toka hapaa.

Halafu nikigundua mtu kaskia naunganisha kawimbo kakuzugia ili ajue nilikuwa naimba.
Tafadhali nategemea sana hekima yako, naomba usinitukane mtu wa Mungu.
---
Habari embu tusaidiane na tatizo langu

Mimi ni muajiriwa wa serikali sekta ya afya. Ila sasa naogopa kusema kwa ma staff wangu shida yangu.

Nina tatizo la kuongea mwenyewe mpaka kuna muda najishangaa sana na mara nyingine huwa na hasira zinanipanda. Nishajichunguza ata kwetu upande wa mama yangu nao tuna tatizo la kuongea wenyewe yaani kuanzia mama yangu, bibi, mjomba na mabinamu its genetic

nauliza kuna tiba yake maana naona ntakuwa kichaa sasa
---
Habari zenu wakuu,

Ningependa kufaham sababu zinazopelekea au kuchangia mtu kuongea mwenyewe. Unaweza pishana na mtu anaongea ukampa salamu hata hakusikii kabisa yupo bize sana anaongea mwenyewe ila akifika mbele kidogo anageuka anaitikia salamu yako.

Ningependa kujua kiutaalamu hali hii inaitwaje na husababishwa na nini haswa na njia za kuepukana na hii hali.

Tuzidi kujikinga na kuwakinga wapendwa wetu dhidi ya covid-19.

UFAFANUZI WA JUMLA JUU YA SHIDA HII

Is it normal to talk to yourself?​

Researchers have widely studied the act of talking to yourself, concluding it is a common and normal behavior. People refer to talking to yourself as self-talk or self-directed talk.

Although people often associate self-talk with mental health issues, healthcare professionals consider it normal at all ages and even beneficial in some circumstances.

In this article, we explore why a person might self-talk. We will also look at its benefits and when it may indicate a mental health condition.

Researchers have been studying self-talk for a long time. In the 1880s, scientists were particularly interested in what people say to themselves, why they talk to themselves, and the purposes of self-talk.

Research defines self-talk as a verbal expression of an internal position or belief, meaning it expresses inner feelings, non-verbal thoughts, and intuitions about a situation through speech. The person only intends to direct their speech at themselves.

While children often talk to themselves, it should not be a cause for concern for parents or caregivers. It is a way of developing language, staying stimulated during a task, and improving performance while completing tasks.

The habit of self-talk may continue into adulthood and is generally not a problem.

How To Stop Negative Self-Talk

Medium close up of Lovely young latino woman dressing in front of mirror. photo credit: Getty


Life is inherently filled with obstacles that are outside our control: the circumstances we are born into, events that are unforeseen, emergencies we are unprepared for, etc. But there are some things we have control over and among them are our thoughts and how we care for ourselves. Life has enough obstacles, we do not need to make things more difficult for ourselves and inflict more pain than life inherently brings. One thing you can do for yourself that does not cost one cent and pays huge dividends is to give yourself a break. Negative thoughts and feelings do untold damage, visible and invisible, so it's important to keep them to a minimum. That's much easier said than done, but here are several ways to help halt negative thoughts and self-talk:

Breathe
Some big reasons people beat themselves up and feel badly about themselves are because they are overwhelmed, they have recently failed or they are paralyzed by fear. It's important in these moments to pause and take a deep breath. It will help slow your increasing heart rate by calming you down and giving you some clarity. If you start thinking negative thoughts, and you are feeling overwhelmed and upset pause and breathe.

Acknowledge It
When you know you're starting to spiral and succumb to your negative thoughts, acknowledge them. You're not going to stop negative thoughts by ignoring them. You have to acknowledge them before you can confront them. It's not easy to admit you have doubts, that you are afraid or have reasons to be concerned, but you will never put them to rest in a meaningful way until you acknowledge them.

Consider The Cause
What are the roots of these thoughts? Are you afraid? Are you experiencing self-doubt? Have you had a big failure recently that has bruised your self-confidence? Are you depressed? Why are these thoughts creeping in and why are they stopping you? Take some time to consider where these thoughts come from and confront them. If you're afraid, assuage your fears. Chances are, they are only in your head. If you're experiencing self-doubt, tell yourself everyone fails and the only way to prove to yourself that you can do this is to start working. Consider the roots of these thoughts so you can address them and work toward silencing them.

Stop Expecting Perfection
Don't expect perfection when you are just beginning. If you are starting over after a major failure, or you are suffering from self-doubt, try telling yourself it's OK to fail. Don't expect perfection when no one is perfect. Flaws and failure are part of life, and once you embrace them, and move forward in spite of them, you will become happier and more self-confident. If you make mistakes it's OK, get back in the saddle and keep going.

Surround Yourself With Positivity
Surround yourself with things that give you energy and motivate you: put on a playlist that gets you moving and in a good mood, play a podcast or a YouTube video of a coach, writer or speaker that motivates and validates you, or a movie that inspires you, or call a friend or family member that always knows what to say when you're having a bad moment, exercise, etc. When you are feeling down, raise yourself up. Know what helps improve your mood and your mindset so you can change it. Your thoughts are not out of your control, know what steps you need to take to change them when they are not serving you.

Build A Routine
If you create a routine, then your day takes less thought, therefore less time and energy. The best way to get past negative thoughts is to work through them, and it is easier to work through them if your day is planned and you do not have to think about how to start your day. If you wake up at the same time every day, and make the same breakfast and workout at the same time, and walk out the door and arrive at your office at the same time you are not overthinking anything and not getting stuck in your own head. If you treat things like getting to work at a certain time, working out and meals like appointments you will naturally rise the occasion of every day. Even if you are suffering from self-doubt, or fear, having a routine helps your press on in spite of them, so build a routine that will help you get your day started and put negative thoughts to the side.

Make A Conscious Choice To Silence Those Thoughts
At first, it will be difficult. The negative voices and thoughts will want to creep in the way they always have, and it will be tempting to let them have their say, but choose to confront them, and create a counter-narrative that's on hand in your head. If you're filled with doubt and feeling like you cannot do something, remember to breathe, to surround yourself with positivity and to remind yourself of the progress you've made every day.
===

BAADHI YA MAONI NA USHAURI ULIOTOLEWA NA WADAU

Hapana si dalili za uchizi wala uchizi wenyewe,bali ni fikra za mtu awazapo.
Edward Sapir & Benjamin Whorf wataalam wa lugha wanazungumzia hili suala kupitia nadharia yao iitwayo SAPIR-WHORF HYPOTHESIS......DETERMINISM-OUR THINKING IS DETERMINED BY OUR LANGUAGES & RELATIVISM-DIFFERENT LANGUAGES PEOPLE HAVE VIEW EVEN THE WORLD DIFFERENTLY(Every person view the world in accordance with her or his language).

Lakini,Wernicke na Brocas kwny LANGUAGE AND BRAIN......WANASEMA,WHEN A PERSON GESTURES EVEN DARE TO TALK ALONE ALL THE WAY,SHE OR HE IS THINKING BIG. kwahyo ndg,mtu anapoongea kwa sauti au ishara jua anafikria sana na kwa undani zaidi,zaid ya kiwango cha kawaida ( in-depth thinking). Ndo maana unaweza ukamsemesha asikujibu au kakuona lkn akapta km hajui kmbe ubongo umetawala matendo yale ya hiari,na anaweza akasema neno bila kujua amemaansha nn halaf baadae ndo anashtukia alichoksema,ktk lugha tunaita PRODUCTION WITHOUT RECEPTION,ktu hik knawatokea watoto wadogo mara kwa mara wakiwa ktk hatua za kupata lugha lkn kwa watu wazma ndo vtu km kuwaza,kufurahia kupndukia.
---
ESPIRIT,

Kaka pole sana;

kwanza naomba nikupe pole, lakini pia nikushauri kuwa hari uliyofikia ni mbaya; hiyo inaitwa depression, kaka sikia hii, usipende kukaa peke yako ukishatoka kazini; kama wewe ni mkristu nakushauri ukitoka job nenda kanisani, kila siku jioni kuanzia saa 11:30 kuna kuwaga na ratiba za ibada, semina na maombi kwenye makanisa mbalimbali.

Lakini kama wewe ni muislamu hakikisha unaenda msikitini kusikiliza mawaidha, nasisitiza usikae pekee yako mahala kwa muda mrefu, kunaweza tokea roho chafu ikakupelekea kujinyonga au kunywa sumu; na pia wewe kama sio mfuasi wa dini yeyte pliz nenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu kadhaa ambao mnaweza kubadilishana mawazo.

lakini katika yote; nia njema itakayokuokoa ni nafsi yako kuamua kumove on kwa njia yeyote ile

nakutakia mafanikio mema
---
pole, huyo mtu/watu wamefanya wamefanya kazi yakufanya ujione huna thamani, wewe sio kitu, ni mjinga, hufai, huwezi kupendwa na yoyote dunia hii.

HAPANA
wewe ni wa thamani sana, wapo watu wanaokupenda,kukujali, kukuthamini kuliko hao walokuumiza na nafasi hiyo waliikosa kwa wewe kuwa na hao vichomi

hebu tulia, shukuru kuwajua ndivyo walivyo mapema wamekuepusha na uzee mbaya jikubali
dunia / nchi hii ina watu mamilioni kukataliwa/kuumizwa na mtu 1 usipate uchizi wanaokupenda niwengi zaidi ya huyo.

Rudisha furaha yako hebu jiamini uwe unasali mara kwa mara kumshukuru Mungu na soon atakuonyesha mtu atakayekupenda mpaka ushangae. Furaha yako ndo kila kitu, wasamehe uepuke kujibebesha mzigo wao wa dhambi

Wewe ni wa dhamani amka tena usifadhaike utajiumiza na dunia imejaa options kibao
---
tukianza kutetea single women over 40 mnatuita desperate.

ni Mtu tu hujawahi kuona watu waliochizika kisa mapenzi. watu wanakuwa walevi kufa. watu wanaishia kuchizika na madawa. watu wanapata msongo wa mawazo. wengine ndo Hawa wanaishia kuongea wenyewe.

msipende kuambia watu, esp. vijana kuwa mapenzi ndo kila kitu. ataona Hiyo ndo life goal yake! kama ndo mpenzi wake wa kwanza ndo atachizika kabisa. na muache kusema sema watu ambao hawajaoa au kuolewa...

Mtu aliyechanganyikiwa kisa mapenzi unamuuliza "enhee kwa Hiyo ukimpata huyo Dada ndo mtakaa kukumbatiana siku nzima for the rest of your life?"

hakuna anayetaka mpenzi ambaye hana maisha. mwenzako huko busy huko we umekaa huna shughuli, unamuwaza yeye tu amalize shughuli zake akae na wewe. siku inakuwa ndeefu.

you need to get a life. get busy. get a hobby. unaweza ukachoka kiasi kwamba akikupigia simu unaona kero.

Fanya mazoezi. soma vitabu. nunua video games. jifunze graphic designing. nenda swimming. au hata iwe unatutengenezea makala JF. (and all the fun stuff that I don't know about because I'm a very boring person)

sio kuunda club ya wanywaji. au kushinda unaangalia romantic movies.

utapata mtu bila hata kutegemea.

ukikaa bila shughuli yoyote lazima hormones zipande...utamuona huyo Mtu ndo kola kitu..
---
@Aleppo,

Pole, una matatizo ya muda mrefu kadha wa kadha huna wakumshirikisha, yamesongamana moyoni. Unatamani upate wakujadili naye ila hayupo ama huwaamini, yapo mambo yamekutokea ila huamini ndio maana unatembea ukijadiliana na dhamira yako.

. Accept
. Copy
. Tafuta alternatives
. Acha kujilaumu kwa lolote lililotokea huwezi kulifuta
. Weka mipango mipya kwa tahadhari uzaliwe upya kimaisha.
.Hauko peke yako na wewe sio wa kwanza wapo wenye matatizo zaidi yako
.Ishi maisha yako usipende kuchagua mambo yakuwaridhisha watu

I wish ungekuwa client wangu for a while ungeleta mrejesho sema niko busy kidogo.

'I LOVE YOU'
 
hapana ni intra personal communication! hii no kila binadam hufanya, ukiwa umezama zaid ndio unajikuta unaongea Kwa sauti! Kwa kawaida huwa ni mawasiliano ya ya mtu ndani ya nafsi yake mwenyewe tena kimya kimya!
 
Mimi ni miongoni mwa watu huwa sometime huwaza kwa kuongea mwenyewe.
 
Hapana si dalili za uchizi wala uchizi wenyewe,bali ni fikra za mtu awazapo.
Edward Sapir & Benjamin Whorf wataalam wa lugha wanazungumzia hili suala kupitia nadharia yao iitwayo SAPIR-WHORF HYPOTHESIS......DETERMINISM-OUR THINKING IS DETERMINED BY OUR LANGUAGES & RELATIVISM-DIFFERENT LANGUAGES PEOPLE HAVE VIEW EVEN THE WORLD DIFFERENTLY(Every person view the world in accordance with her or his language).

Lakini,Wernicke na Brocas kwny LANGUAGE AND BRAIN......WANASEMA,WHEN A PERSON GESTURES EVEN DARE TO TALK ALONE ALL THE WAY,SHE OR HE IS THINKING BIG. kwahyo ndg,mtu anapoongea kwa sauti au ishara jua anafikria sana na kwa undani zaidi,zaid ya kiwango cha kawaida ( in-depth thinking). Ndo maana unaweza ukamsemesha asikujibu au kakuona lkn akapta km hajui kmbe ubongo umetawala matendo yale ya hiari,na anaweza akasema neno bila kujua amemaansha nn halaf baadae ndo anashtukia alichoksema,ktk lugha tunaita PRODUCTION WITHOUT RECEPTION,ktu hik knawatokea watoto wadogo mara kwa mara wakiwa ktk hatua za kupata lugha lkn kwa watu wazma ndo vtu km kuwaza,kufurahia kupndukia.
 
una maana gani mkuu

nikuulize tu swali dogo, hiv hujawai kujiuliza swali na kujijibu mwenyewe ndani ya nafsi yako? au kutafakari jambo flan liwe la furaha au huzuni? kama ndiyo, basi utakuwa umenielewa ndugu.
 
Kwa bubu huwa inakuwaje hii.Au yeye huwa ni kimyakimya mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom