Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

Kwa vile upo na tatizo la kumpinga JPM hayo ndiyo madhara yake na hata TL anao ugonjwa huo
 
Una miaka 26, mama yako inawezekana sasa ana miaka zaidi ya 55, unasema nayeye anatatizo la kuongea mwenyewe tangu zamani, lakini mpaka sasa hivi hajawa kichaa, wajomba zako nako wako hivyo lakini hawajawa vichaa, sasa kwanini na wewe uwe kichaa?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Habari zenu wakuu,

Ningependa kufaham sababu zinazopelekea au kuchangia mtu kuongea mwenyewe. Unaweza pishana na mtu anaongea ukampa salamu hata hakusikii kabisa yupo bize sana anaongea mwenyewe ila akifika mbele kidogo anageuka anaitikia salamu yako.

Ningependa kujua kiutaalamu hali hii inaitwaje na husababishwa na nini haswa na njia za kuepukana na hii hali.

Tuzidi kujikinga na kuwakinga wapendwa wetu dhidi ya covid-19.
 
Back
Top Bottom