Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cjui kwanini nikikusoma wewe kwenye mind nakufananisha na yule dem daktari ig@alicemuyiNenda kwa wataalamu mku kwanza una umri gani, neurotransmitters zikianza kupungua inakuwa matatizo.
Hahahahgahajahhahaha! ndio wanaongeaje kistata stata? nimecheka..huna akili we jamaa dahh! umenikumbusha MTU ana boonge LA gugumizi ..dahhWengi ni wenye kigugumizi ndiyo mara nyingi huongea pekeyao, mie ndugu zangu upande wa baba ndiyo huongea wenyewe kama wanapiga stata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa mkuu, sisi vijana kuzunguka ni kawaida. Ntakuwa Mbagala alhamis mchana nikuone two hours.
Aleppo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama inahusu uganga sisomi kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mgonjwa anachagua tibaAleppo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ww ni mwenyeji wa Uru Moshi wala usihangaike maana hilo swala lakuingea mwenyewe ni asili ya watu wa uru, na most of them after 45 yrs to above wanaanzaga kuwa vichaa .Mkuu yaani mimi najikuta naongea mwenyewe kama najibishana na mtu nishachunguza kwetu tupo hivyo hasa kwa upande wa mama ila naona ni genetic
Nikija moshi ntakutafuta mkuu maana ulishawahi kusema huku jf unakaa KCMC
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji23]Uwe unaweka blue tooth au head phones watu watajua unaongea na simu
Nimependa hiyo...ooooh yaah! Imenikumbuza mbali sana...ukifika hapo mbali unachukua boda boda unaingia ndani ndani zaidi!Me naongea mwenyewe pale MTU kaniudhi halafu najua siwezi kumfanya kitu hata kumsema ataniatack tu huwa naongea mwenyewe nalia halafu hasira zinaisha .. Sioni kama ni tatizo.. Au kama nimefurahishwa na jambo na sioni namna ya kumshirikisha MTU ataona namringishia najisfia najipongeza nacheka .. Ooh yah
Sent using Jamii Forums mobile app