Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

Me ninalo dizain ya hilo, Ila me huwa naongea usingizini na kwa sauti.
 
Mimi naona kwa namna moja au nyingine huwa tunaongea peke yetu
Watu wote tunaongea na masaibu yanayotukuta
Wasiongea ndio vichaa
 
Nikiwa chumbani kwangu, huwa nawaona watu wanaopita njia inayopita karibu na chumba changu, sasa juzi nimemuona jamaa anaongea kwa nguvu, nikadhani yupo na mwezie, kumbe yupo Mwenzie kumbe yupo peke yake. Hii tabia ya kuongea peke yangu, nilikua nayo zamani, ila ni pale ninapotembea kwenda au kurudi shambani, nikiwa shambani au sehemu zingine inaisha hali hiyo.
 
Ukiona Unaongea hivyo kuna Mawili au Matatu. Unaongea na Shetani ama Unaongea na MUNGU ama Unaongea na Nafsi yako. Kawaida ya kila mtu ukiwa hai lazima aongee moyoni ukiona Unaongea kwa Sauti basi ina maana Utulivu kwako ni 0 hivo punguza Mawazo. Then uwe na kamuda ya kupumzika na kutafakari ili ukumbuke unayoyawaza na kuyapatia maji kwa utulivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam Mwajuma,
Nina msongo wa mawazo na mambo magumu lkini hii hali hunitokea napenda kujiongelesha mwenyewe,sometimes mpaka naulizwa unaongea na nani nasema simuni. Ninajisimulia story hasa nikiwa naoga,nikitoka Leo,

kesho yake naanza haya tuendelezee Jana iliishia hapa naongea mwenyewe,nikiosha vyombo au kupika,kufagia nikichoka naanza kuimba. Lakini sioni kama tatizo hili aise,tho najiulizaga tu hivi mi mzima kweli?? Naishia kucheka naendelea kujisimulia hadithi za kujitungia[emoji23] [emoji23] [emoji23] like craze
 
Mkuu yaani mimi najikuta naongea mwenyewe kama najibishana na mtu nishachunguza kwetu tupo hivyo hasa kwa upande wa mama ila naona ni genetic

Nikija moshi ntakutafuta mkuu maana ulishawahi kusema huku jf unakaa KCMC
Kama ww ni mwenyeji wa Uru Moshi wala usihangaike maana hilo swala lakuingea mwenyewe ni asili ya watu wa uru, na most of them after 45 yrs to above wanaanzaga kuwa vichaa .

Do research will get what am saying.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hao uliowataja kuna aliekuwa kichaa tayari? Kama hakuna ondoa shaka ni asili yenu kama ulivyosema, muhimu ni kuzingatia maneno unayosema yasiwe na uchochezi ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una msongo wa mawazo,... Ubongo wako unashindwa kuhimili unatoa through verbal,.. Punguza stress za maisha, ridhika nayo, sio lazima upate kila kitu unachokita kwa wakati,... Jaribu kujianalyse upungunuze mambo yasio muhimu kweny maisha,
 
Me naongea mwenyewe pale MTU kaniudhi halafu najua siwezi kumfanya kitu hata kumsema ataniatack tu huwa naongea mwenyewe nalia halafu hasira zinaisha .. Sioni kama ni tatizo.. Au kama nimefurahishwa na jambo na sioni namna ya kumshirikisha MTU ataona namringishia najisfia najipongeza nacheka .. Ooh yah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Mkuu, kawaone psychologists uwaeleze tatizo lako na kujua kama inawezekana kutatuliwa.
 
The Businessman,

Labda unacho! By the way kama unapojiongelesha mwenyewe haikusumbui basi endelea kwa kuwa inapunguza Jam ya kupiga story na watu back!
 
Me naongea mwenyewe pale MTU kaniudhi halafu najua siwezi kumfanya kitu hata kumsema ataniatack tu huwa naongea mwenyewe nalia halafu hasira zinaisha .. Sioni kama ni tatizo.. Au kama nimefurahishwa na jambo na sioni namna ya kumshirikisha MTU ataona namringishia najisfia najipongeza nacheka .. Ooh yah

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa hiyo...ooooh yaah! Imenikumbuza mbali sana...ukifika hapo mbali unachukua boda boda unaingia ndani ndani zaidi!
 
Back
Top Bottom