Tatizo la Ndoa SI kukosekana Kwa Upendo Bali kukosekana Urafiki baina ya wanandoa.

Tatizo la Ndoa SI kukosekana Kwa Upendo Bali kukosekana Urafiki baina ya wanandoa.

De Capri Don

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2023
Posts
481
Reaction score
947
Baada ya Salam.
Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti.
-Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu
-Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba
-Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika
-Kuolewa-kuoa baada ya kutoka jando / unyagoni
  • Kuolewa-kuoa kisiasa (Mandela na Gracia Machelle)
  • Kuolewa-kuoa Kwa kufanyiwa mazangira ya uchawi
  • Kuoa-kuolewa sababu ya nyegezi upwiru
-kuolewa-kuoa Kwa kurithishwa kitamaduni
Kama Kuna sababu nyingine ya kuoa au kuolewa sijaitaja basi itaje.

Je,umeshawahi kuona marafiki hasa wameoana na Kuna utofauti gani kati ya wanandoa marafiki vipenzi kama Bonnie and Clyde na wanandoa wa aina nyingine.
Sina takwimu rasmi ila wanao funga pingu Hali ya kuwa ni marafiki asilimia ni ndogo sana yaani mamoja au single digit % tunafeli wapi.
Kataa Ndoa karibuni.
Pro-Ndoa karibuni.
 
Sina takwimu rasmi ila wanao funga pingu Hali ya kuwa ni marafiki asilimia ni ndogo sana yaani mamoja au single digit % tunafeli wapi.
Hata huo urafiki unaweza kufika mwisho msipokuwa waangalifu.
 
Back
Top Bottom