FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Shida nini kwani?Hata mitandao mingine
Poleni sana.Nauliza kwa kifupi tu, kuna tatizo gani leo, maana network inapatika kwa dakika chache tu kisa inakata masaa.., whats going on?!
Nkajua peke yangu,nimetoa Sana line,puliza,safisha,rudisha..lakini wapi!!Nauliza kwa kifupi tu, kuna tatizo gani leo, maana network inapatika kwa dakika chache tu kisa inakata masaa.., whats going on?!
Nimezima na kuwasha siku kama mara 10 hivi, ila ikawa inasema ‘No service’Nkajua peke yangu,nimetoa Sana line,puliza,safisha,rudisha..lakini wapi!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], na mimi nimesumbuka sana leo..nikahisi ni simu tuu ndo inazinguaNkajua peke yangu,nimetoa Sana line,puliza,safisha,rudisha..lakini wapi!!
Mi simu yenyewe ya dhulma,nkajua tayari albadirNimezima na kuwasha siku kama mara 10 hivi, ila ikawa inasema ‘No service’
Nayapigia simu kuuliza kuna shida yananitumia settings za Internet. Mbaya zaidi natumia postpaid mwezi utaisha nimeacha GB 20tigo ndio wapuuzi kabisa yan kuna muda mpaka najisemea hawa jf wana shida gan
ohoo!! me tangu wiki ilioisha yan mtandao haueleweki kabisaNayapigia simu kuuliza kuna shida yananitumia settings za Internet. Mbaya zaidi natumia postpaid mwezi utaisha nimeacha GB 20