Tatizo la network kwa Airtel leo tarehe 05/09/2023

Tatizo la network kwa Airtel leo tarehe 05/09/2023

tigo ndio wapuuzi kabisa yan kuna muda mpaka najisemea hawa jf wana shida gan
Changamoto imeanzia kwenye kubana matumizi..most of technical changes zinatakiwa kufanywa ucku ilakwakua overtime wanaziondoa najina lakubana matumizi then engineers wanafanya changes wkt wamchana kwakua wanajua ucku hawapati chochote
 
ohoo!! me tangu wiki ilioisha yan mtandao haueleweki kabisa
Same problem to me yaani no 4G ni mwendo wa 3G kituko ukienda ofisi zao kuna kadada kananiambia kuna muda simu zinasahau network kama ulisafiri nje ya eneo ulilopo.mara kanishauri badilisha simu nikakauliza ninunue techno kinajichekesha tu
 
Nimezima na kuwasha siku kama mara 10 hivi, ila ikawa inasema ‘No service’
Nimezima na kuwasha mara moja tu mida ya saa tisa simu zikaanza kutoka ila sms ndio nimeweza kutuma muda huu
 
4G leo ni kimeo. Fanya setting ya mobile network kwenda 3G.
 
Changamoto imeanzia kwenye kubana matumizi..most of technical changes zinatakiwa kufanywa ucku ilakwakua overtime wanaziondoa najina lakubana matumizi then engineers wanafanya changes wkt wamchana kwakua wanajua ucku hawapati chochote
inatucost halaf kwangu ilikua n jf inanizingua insta linkedin wasap emails natuma bila shida
 
Same problem to me yaani no 4G ni mwendo wa 3G kituko ukienda ofisi zao kuna kadada kananiambia kuna muda simu zinasahau network kama ulisafiri nje ya eneo ulilopo.mara kanishauri badilisha simu nikakauliza ninunue techno kinajichekesha tu
hajui kazi yake yan sjasafiri hata kwenda mkoani nilipo mtandao unasumbua
 
Dahhh asehhh Jana nimenunua simu mpya nkajua nishapigwa nkapanga kesho niende niwarudishie wanipe nyingine,kumbe hadi huko
 
Dogo wangu kanirudishia simu asema nilimpa simu mbovu , na kazi kafunga saa mbili usiku sababu no network kutwa nzima.
 
Kwa bongo hii ni lazima kuw na secondary line, nilikuwa sipendi line nyingi ila mbili ni muhimu, moja ikigoma unaendelea kuwasiliana na nyingine.

Niliona hilo tatizo nikaswitch voda maisha yakasonga.
 
Update:
Tatizo linazidi kuwa kali zaidi, masaa mawili mfululizo ‘NO SERVICE’. Ndio network imerudi sasa hivi.

D1222049-208D-470D-BCB5-D12B18B51DB2.jpeg
 
Nimerestart simu wapiii
Nimezima nimewasha wapii
Nimehangaika na settings wapiii
Nikiwasha data network inapokea hata ile kidogo iliyokuwepo
Nimehangaika kutoa 4G kwenda 3g wapii.
Mpaka nikahisi kimeo changu ndio kina shida. Kumbe mtandao
 
Nauliza kwa kifupi tu, kuna tatizo gani leo, maana network inapatika kwa dakika chache tu kisa inakata masaa.., whats going on?!

=========================
Update:
Tatizo linazidi kuwa kali zaidi, masaa mawili mfululizo ‘NO SERVICE’. Ndio network imerudi sasa hivi.

View attachment 2740240

Mpaka tigo mkuu[emoji119]
 
Back
Top Bottom