Tatizo la Ng'ombe kujaa gesi tumboni

Icho kifaa Kama bisibisi ndio trocar and canula mkuu ,naiyo drip aliyofungwa bada ya kuzaa kupitia mshipa wa shingoni (jugular vein )ilikua na calcium ili kumsaidia ugonjwa wa (milking fever ) ambao huwakumba ng'ombe badaa ya kuzaa, Kama alikosa chakula chenye madini yakutosha Hali inayompelekea kukosa nguvu bada ya kuzaa na kushindwa kuamka.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ukupaswa kumchoma OTC,iyo Ni bloating unataka kutoa ushuzi kwa sindano hii akili ya wapi mfugaji wewe.TUMIA MADAKITARI WA MIFUGO WACHA UBISHI!!!

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA

NImeshanga apia.
huyo napiugwa sindano special tumboni, hewa yote inatoka.

sababu ni kula kula ovyo jalalani. itakuw amekula mifuko ya polastic au vyakula vinavyojaza hewa tumbo.
 
Hata angechkua epsom salt na kuichanganya na maji bloating inakwsha vizuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa pia

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA

Upo sahihi..pia kitu cha muhimu kufaham ni aina gan ya bloat? Is it a gassy bloat or frothy bloat? Kwa ufup ni kwamba case nying ambazo nime attend kuhusu bloat huwa ni frothy bloat, hii huwasumbua sana ngo'mbe,mbuz hata kondoo. Hasa kipind cha majan mengi (wet grasses) ,
Gassy bloat hii hutokea mara chache hasa kwa case kama milk fever, cow down's syndrome au kukwama na vitu kama viaz..
So kabla hujaanza kutibu lazima ufaham ni aina gn ya bloat? Kama ni frothy bloat hapa itakupasa kutumia antifoaming agents kama epsom salts.,haina haja sana ya kutumia stomach tube au troca and canula
Ila kwa case ya gassy bloat hapa itakulazim utumie stomach tube au trocal and canula..hapa hushauriw kutumia antifoaming agents kama epsom salt..

MIFUGO NI MALI
 
Kwel mkuu na bloat ambayo ni very common saana hua frothy bloat kuliko gas bloat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salmin siraj said:
Hata angechukua epsom salt angechanganya na maji bloating inakwisha kabisa
pamoja sana mkuu..

uchanganyaji unakuwaje? Haina madhara ikizidishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…