Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Icho kifaa Kama bisibisi ndio trocar and canula mkuu ,naiyo drip aliyofungwa bada ya kuzaa kupitia mshipa wa shingoni (jugular vein )ilikua na calcium ili kumsaidia ugonjwa wa (milking fever ) ambao huwakumba ng'ombe badaa ya kuzaa, Kama alikosa chakula chenye madini yakutosha Hali inayompelekea kukosa nguvu bada ya kuzaa na kushindwa kuamka.Wakati nasoma Olevel ndipo kwa mara ywanza nilishuhudia mnyama anatundikiwa drip..
Ng'ombe wa mkuu wa shule alijaa gesi siku2 baada ya kutoka kuzaa basi alizidiwa mpaka hatua ya kushindwa kujigeuza akamlalia ndama wake mpaka akafa basi aliitwa dr wa mifugo maana alikuwa ni ng'ombe wa kisasa Fresian,alipofika akamtundikia drip kisha akamuingiza kifaa flani hv km bisibisi kisha akakifungua ule mshikio wake wa juu bomba likabaki tumboni basi ikaanza kutoka gesi yote kisha baada ya kumaliza akachomoa ule mrija wa kile kifaa akasema hapahitaji kushonwa panajiziba penyewe.Ng'ombe akapona
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA