At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
sijajua exactly. Ila ni kama haizidi 2 years. Nikiwa dar, ndio hali huwa hivyo. Ila nyumbani mkoani inapotea yenyewe.Je umekua na tatizo Hilo kwa muda gani na je unapata maumivu ?
Pole mkuuHabari doctor Nina tatizo hilo langozi nimenitokea nini siku ya tano japo kabla nilitokewa na vidonda mwilini nitatumia dawa vikakauka Ila baada ya hapo ndio nikatokewa na hii hali hapo panatowa USAA na maji maji pia panawasha sana na mkuu umevimba na sasa hivi naona dalili kwenye mkono
View attachment 1901794
Mrejesho: Nilienda hospitali nliambiwa ni Fungus.Hi doctors!
for a while nimekuwa nikipatwa na hali ya ngozi kubanduka kama gamba.
Sijajua hi hali inasababishwa na nini.
pia hii imepelekea kutopenda kuvaa viatu. Maana nikivaa kwa muda miguu huuma.
Msaada please.
Wenu.
At Calvary
Mrejesho: Nilienda hospitali nliambiwa ni Fungus.