Tatizo la Nguruwe kula kuku

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nimefuga na ninafuga nguruwe ndugu yangu, hao nguruwe wako kuna madini wanakosa ndugu yangu.

Nguruwe hali chakula alichokanyagakanyaga au alichokinyea, sasa kama wako anakula hadi kinyesi chake mcheki daktari wa mifugo utawaua kwa minyoo.
 
Au akizaa vitoto halafu ana njaa mkichelewa kumpa msosi anavitafuna vizuri tu chap chap.
 
Wewe umesema kuku wanafuata mahindi, si uache kuweka mahindi huko kwa nguruwe? Pia, uimarisha mabanda ya mifugo yako ili kuku wasiweze kuingia huko kwa 'kitimoto'.

Kwa kifupi, tatizo hapa ni mfugaji kutokufuata ufugaji bora na wala sio kitimoto!
Ushauri wako ni mzuri
 
Ni mazoea tu hawana madhara ukila.

Kuku, bata nk wote wanakula nyama. Jaribu kukatakata nyama au uwatupie nyama ngumu iliyokushinda kutafuna. Utaona jinsi watakavyonyanganyana na kuimaliza. Hao wote ni haramu ukiongezea na samaki kwa kigezo chako. USILE.
Labda ili nieleweke, hata binadamu asipokula nyama kabisa, hawezi kuwa na roho mbaya.

Binadamu ni mnyama pia, fuatilia wanyama wanaokula nyama na wanaokula majani utagunduwa siri ya uumbaji.

Waangalie binadamu wanaojiita vegetarian au Rastafarian wachungize mioyo yao ni watu peace na wenye upendo.

Chunguza makabila ambayo wanakula sana nyama na makabila ambayo kwao nyama ni anasa yani inapatikana kwa nadra utagunduwa tofauti kubwa ya Harmony.

My point nyama ni tatizo kwa binadamu.
 
Yesu mwenyewe alimtoa mtu mapepo akawatupia nguruwe hao wadudu ni wa hovyo sana
 
Hili ni tangazo anyway nguruwe sh ngap em picha zao
 

Tatizo la Nguruwe kula kuku, ni tatizo linalotakiwa kujibiwa na wasomi wa SUA, wapo huku Jf ila majibu hawana wanasaka ajira ambazo ni ngumu kuzipata.​

Nguruwe ni mnyama anaekula takribani kila chakula kilicho mbele yake iwe kibichi au kilichopikwa. Japo si nguruwe wote wanaoweza kula kuku alie hai.

Nguruwe wakali kupita kiasi ndio hasa unaweza kuwakuta wakiwa na hiyo tabia. Pia upungufu wa protin mwilini unaweza kupelekea nguruwe kula kuku n.k
 
Kuku, bata nk wote wanakula nyama. Jaribu kukatakata nyama au uwatupie nyama ngumu iliyokushinda kutafuna. Utaona jinsi watakavyonyanganyana na kuimaliza. Hao wote ni haramu ukiongezea na samaki kwa kigezo chako. USILE.
Kuku na Bata tangu lini wamekuwa WANYAMA????
 
Hio paragraph ya mwisho unamaanisha kwamba kufuga nguruwe kunahitaji mtaji mkubwa au unamaanisha wanalipa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…