wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kiboko anakula majani tu lkn ndio anaongoza kwa kuua binadamu kuliko hata Simba.Labda ili nieleweke, hata binadamu asipokula nyama kabisa, hawezi kuwa na roho mbaya.
Binadamu ni mnyama pia, fuatilia wanyama wanaokula nyama na wanaokula majani utagunduwa siri ya uumbaji.
Waangalie binadamu wanaojiita vegetarian au Rastafarian wachungize mioyo yao ni watu peace na wenye upendo.
Chunguza makabila ambayo wanakula sana nyama na makabila ambayo kwao nyama ni anasa yani inapatikana kwa nadra utagunduwa tofauti kubwa ya Harmony.
My point nyama ni tatizo kwa binadamu.