wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kiboko anakula majani tu lkn ndio anaongoza kwa kuua binadamu kuliko hata Simba.Labda ili nieleweke, hata binadamu asipokula nyama kabisa, hawezi kuwa na roho mbaya.
Binadamu ni mnyama pia, fuatilia wanyama wanaokula nyama na wanaokula majani utagunduwa siri ya uumbaji.
Waangalie binadamu wanaojiita vegetarian au Rastafarian wachungize mioyo yao ni watu peace na wenye upendo.
Chunguza makabila ambayo wanakula sana nyama na makabila ambayo kwao nyama ni anasa yani inapatikana kwa nadra utagunduwa tofauti kubwa ya Harmony.
My point nyama ni tatizo kwa binadamu.
pili pili umrsahau wapi wewe!!!!mbona unaharibu resipi?nakuonya usirudie tena hili kosaNgoja nikapige kwanza kilo moja rost na ndizi mbili nishushie na K-veve ili niweze kulitafakari jambo hili.
Wanafanya utafiti wa panya kulipua mabomu wakati Tanzania hakuna vita badala ya kufanya utafiti kwa nini nguruwe nakakula kuku.Tatizo la Nguruwe kula kuku, ni tatizo linalotakiwa kujibiwa na wasomi wa SUA, wapo huku Jf ila majibu hawana wanasaka ajira ambazo ni ngumu kuzipata.
Hata nguruwe pia huwala watoto wake pindi akiwa na njaa, achilia mbali kula tope,udongo au mabanzi aliyojengewaSungura pia anakula watoto wake
Nani kakudanganya kuwa nguruwe ni rasta?Nguruwe anakula nyama?
Kuku naye anafakamia nyama.Sikuwa nalijuwa hili, ninavyojuwa mimi wanyama wanaokula nyama binadamu huwa hatuwali.
Kuku sio MNYAMAKuku naye anafakamia nyama.
Fanya kumpa
Unamaanisha kuku ni mdudu auKuku sio MNYAMA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jamaa amekazana kweli na hiyo statement yake tangu kule juuUnamaanisha kuku ni mdudu au
Kula nyama kunachangia kua na roho mbaya?Labda ili nieleweke, hata binadamu asipokula nyama kabisa, hawezi kuwa na roho mbaya.
Binadamu ni mnyama pia, fuatilia wanyama wanaokula nyama na wanaokula majani utagunduwa siri ya uumbaji.
Waangalie binadamu wanaojiita vegetarian au Rastafarian wachungize mioyo yao ni watu peace na wenye upendo.
Chunguza makabila ambayo wanakula sana nyama na makabila ambayo kwao nyama ni anasa yani inapatikana kwa nadra utagunduwa tofauti kubwa ya Harmony.
My point nyama ni tatizo kwa binadamu.
Nguruwe akiwa na njaa uwala watoto wakeSikuwa nalijuwa hili, ninavyojuwa mimi wanyama wanaokula nyama binadamu huwa hatuwali.
Hata kuku anakula nyamaBasi kweli huyu mnyama ni haram.
Sijaonaga mnyama anayekula nyama analiwa na binadamu, sikuwa nalijuwa hili.
Ebu tujibu wewe ambaye hausaki ajira izo na uache dharau kijana.Tatizo la Nguruwe kula kuku, ni tatizo linalotakiwa kujibiwa na wasomi wa SUA, wapo huku Jf ila majibu hawana wanasaka ajira ambazo ni ngumu kuzipata.
Kutana na nyati hapo mbugani bora simbaLabda ili nieleweke, hata binadamu asipokula nyama kabisa, hawezi kuwa na roho mbaya.
Binadamu ni mnyama pia, fuatilia wanyama wanaokula nyama na wanaokula majani utagunduwa siri ya uumbaji.
Waangalie binadamu wanaojiita vegetarian au Rastafarian wachungize mioyo yao ni watu peace na wenye upendo.
Chunguza makabila ambayo wanakula sana nyama na makabila ambayo kwao nyama ni anasa yani inapatikana kwa nadra utagunduwa tofauti kubwa ya Harmony.
My point nyama ni tatizo kwa binadamu.
Ni mmea?Kuku sio MNYAMA
Mbona ata pia kuku na ndege wanakula nyamaSikuwa nalijuwa hili, ninavyojuwa mimi wanyama wanaokula nyama binadamu huwa hatuwali.