The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Washauri wa Mama Dikteta mkoloni toka Zanzibar ndiyo wabaya, kumshauri kuwabambikia kesi chadema kumteka mdude polepole na wengineo ndiyo wamemtengenezea chukiKuna watu unaoweza kuwaita wadini na maadui wa taifa wanaodhani kuwa rais Samia anachukiwa hasa anaposhauriwa au kukosolewa au kutopongezwa, kuabudiwa, na kuhadaiwa anapendwa.
Hawa ambao naweza kuwaita wahuni na wajinga wa mwisho wanadhani Samia anachukiwa kwa sababu ya dini, eneo au jinsia yake. Kimsingi, adui wa Samia ni Samia na hawa wanaomhadaa kwa kujifanya wanampenda wakati wanamponda.
Wanajifanya wanamtetea wakati wanatetea matumbo na uzwazwa wao. Tuwazomee na kuwapa vipange vyao. Samia hachukiwi kwa lolote bali maamuzi na matendo yake kama kiongozi wa nchi aliyeng'ang'ania madarakani kwa kumwaga damu. Simpo.
Kuna watu unaoweza kuwaita wadini na maadui wa taifa wanaodhani kuwa rais Samia anachukiwa hasa anaposhauriwa au kukosolewa au kutopongezwa, kuabudiwa, na kuhadaiwa anapendwa.
Hawa ambao naweza kuwaita wahuni na wajinga wa mwisho wanadhani Samia anachukiwa kwa sababu ya dini, eneo au jinsia yake. Kimsingi, adui wa Samia ni Samia na hawa wanaomhadaa kwa kujifanya wanampenda wakati wanamponda.
Wanajifanya wanamtetea wakati wanatetea matumbo na uzwazwa wao. Tuwazomee na kuwapa vipange vyao. Samia hachukiwi kwa lolote bali maamuzi na matendo yake kama kiongozi wa nchi aliyeng'ang'ania madarakani kwa kumwaga damu. Simpo.
Hatuwezi kuwalaumu washauri na kumuacha Ida Amina kwa vile wanapompa ushauri, huwa hawamlazimishi kuukubali na kuufanyia kazi. Hapa, tatizo, nadhani ni uwezo mdogo wa mhusika.Washauri wa Mama Dikteta mkoloni toka Zanzibar ndiyo wabaya, kumshauri kuwabambikia kesi chadema kumteka mdude polepole na wengineo ndiyo wamemtengenezea chuki
Anajua ila uwezo wake ni mdogo au tuseme zeroPia hajui kuchakata taarifa kila taarifa anayopewa anameza tu..