Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
🤣🤣🤣 hiyo ni typing error ni "jembe" na nimerekebisha mkuu.Hahaha na wewe ni wa jalalani pia?!
Mmechanjwa chanjo ya ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 hiyo ni typing error ni "jembe" na nimerekebisha mkuu.Hahaha na wewe ni wa jalalani pia?!
Mmechanjwa chanjo ya ujinga.
Umenena ukweli 'mpeni mitano mtaona maajabu'. Lakini itahitajika akili ya utaahili wa juu kusubiri mitano kuona 'maajabu' ya kuzidi haya yaliyo oneshwa miaka 5. Hakuna ajira(ajira 6m anazosema ni idadi ya vitambulisho vya wajasiliamali vilivyo uzwa), hakuna Uhuru wa watu, hakuna utawala wa kisheria, hakuna demokrasia nk nk.Kwa miaka mitano tangia uingie madarakani wapo wananchi wengi waliokuunga mkono wakakubali kufunga mikanda wakasahau yale yote uliyowaahidi ili mambo ya msingi yafanyike wakitegemea mambo yatakuwa mazuri mbeleni
Ni kweli umefanya mengi Mheshimiwa kama watangulizi wako ambayo walishayafanya anajenga reli ya kisasa,unajenga bwawa,umeboresha miundombinu mingine kama flyover na barabara
Sasa umefika muda wa kampeni wananchi wamejitokeza wengi walikuwa wanategemea kusikia maendeleo yanayowagusa watu
Ni kweli miundombinu ni muhimu lakini maendeleo ya watu ni muhimu pia kwa hili Mheshimiwa kuna kila dalili watu itabidi waendelee kukaza mikanda kwa kipindi kingine cha miaka mitano ili miradi ikamilike
View attachment 1557257View attachment 1557259View attachment 1557260
Wengine wajinga, tutampa tena mitano, unasemaje!Aliyeumwa na nyoka,akiguswa na unyasi atashituka tuu.
Watanzania sio wajinga.
Huo umati wa watu hapo uwanjani Shinyanfa, aah, aah aah acha kabisa. Utanzania siafu katika kichuguu chao wakiwa wamevamiwa na neema ya kumbikumbi.
Mabeberu na kibaraka wao mkuu Lissu sura zimewashuka kwa aibu na sijui wataenda kuzificha wapi nyuso zao oktoba baada ya uchaguzi. NTv ya Kenya mko wapi? Mkuje huku muabike.
Ukiona hivyo ujue wale wasanii 200 wapo kwenye hiyo fiesta,ndo maana kuna nyomi hapo..Huo umati wa watu hapo uwanjani Shinyanfa, aah, aah aah acha kabisa. Utanzania siafu katika kichuguu chao wakiwa wamevamiwa na neema ya kumbikumbi.
Mabeberu na kibaraka wao mkuu Lissu sura zimewashuka kwa aibu na sijui wataenda kuzificha wapi nyuso zao oktoba baada ya uchaguzi. NTv ya Kenya mko wapi? Mkuje huku muabike.
Kwani Maendeleo ya Watu ni yapi?Aliyeumwa na nyoka,akiguswa na unyasi atashituka tuu.
Watanzania sio wajinga.
maendeleo ya vitu sio maendeleo ya watuEthiopia kwa sasa miundombinu yake ni usipime pale Addis Ababa, ni full ma flyover+treni ya umeme na wanajenga bwawa kubwa la umeme nadhani Africa nzima hakuna lakini waethiopia kila siku wanakamatwa kwenye ma lorry huku bongo.
Kwake yeye Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu si vitu vya maana..Kwa miaka mitano tangia uingie madarakani wapo wananchi wengi waliokuunga mkono wakakubali kufunga mikanda wakasahau yale yote uliyowaahidi ili mambo ya msingi yafanyike wakitegemea mambo yatakuwa mazuri mbeleni
Ni kweli umefanya mengi Mheshimiwa kama watangulizi wako ambayo walishayafanya anajenga reli ya kisasa,unajenga bwawa,umeboresha miundombinu mingine kama flyover na barabara
Sasa umefika muda wa kampeni wananchi wamejitokeza wengi walikuwa wanategemea kusikia maendeleo yanayowagusa watu
Ni kweli miundombinu ni muhimu lakini maendeleo ya watu ni muhimu pia kwa hili Mheshimiwa kuna kila dalili watu itabidi waendelee kukaza mikanda kwa kipindi kingine cha miaka mitano ili miradi ikamilike
View attachment 1557257View attachment 1557259View attachment 1557260
wamemfata sholo mwambaHuo umati wa watu hapo uwanjani Shinyanfa, aah, aah aah acha kabisa. Utanzania siafu katika kichuguu chao wakiwa wamevamiwa na neema ya kumbikumbi.
Mabeberu na kibaraka wao mkuu Lissu sura zimewashuka kwa aibu na sijui wataenda kuzificha wapi nyuso zao oktoba baada ya uchaguzi. NTv ya Kenya mko wapi? Mkuje huku muabike.
Hao wote wamekuja kutizama shoo ya bure tu na sio kumskiliza uyo mgombea
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Nyomi iende basi kwa Rungwe kwenye ubwabwa na mboga ya kuku wa chienyeji bure.Ukiona hivyo ujue wale wasanii 200 wapo kwenye hiyo fiesta,ndo maana kuna nyomi hapo..
wamemfata sholo mwamba
Hilo tamasha la wasanii,watu wanakuja kuwaona wasanii na bado mnawasomba na maloliHuo umati wa watu hapo uwanjani Shinyanfa, aah, aah aah acha kabisa. Utanzania siafu katika kichuguu chao wakiwa wamevamiwa na neema ya kumbikumbi.
Mabeberu na kibaraka wao mkuu Lissu sura zimewashuka kwa aibu na sijui wataenda kuzificha wapi nyuso zao oktoba baada ya uchaguzi. NTv ya Kenya mko wapi? Mkuje huku muabike.
Sawa punguani.Huo umati wa watu hapo uwanjani Shinyanfa, aah, aah aah acha kabisa. Utanzania siafu katika kichuguu chao wakiwa wamevamiwa na neema ya kumbikumbi.
Mabeberu na kibaraka wao mkuu Lissu sura zimewashuka kwa aibu na sijui wataenda kuzificha wapi nyuso zao oktoba baada ya uchaguzi. NTv ya Kenya mko wapi? Mkuje huku muabike.
Ala kumbe Tanzania itakuwa Kama ulaya ok kwa hiyo dah ngoja nije!!.Huo umati wa watu hapo uwanjani Shinyanfa, aah, aah aah acha kabisa. Utanzania siafu katika kichuguu chao wakiwa wamevamiwa na neema ya kumbikumbi.
Mabeberu na kibaraka wao mkuu Lissu sura zimewashuka kwa aibu na sijui wataenda kuzificha wapi nyuso zao oktoba baada ya uchaguzi. NTv ya Kenya mko wapi? Mkuje huku muabike.
Sawa zidianiSawa punguani.
Ala kumbe Tanzania itakuwa Kama ulaya ok kwa hiyo dah ngoja nije!!.
Wewe si usimchague kama sera hazikufaiKwa miaka mitano tangia uingie madarakani wapo wananchi wengi waliokuunga mkono wakakubali kufunga mikanda wakasahau yale yote uliyowaahidi ili mambo ya msingi yafanyike wakitegemea mambo yatakuwa mazuri mbeleni
Ni kweli umefanya mengi Mheshimiwa kama watangulizi wako ambayo walishayafanya anajenga reli ya kisasa,unajenga bwawa,umeboresha miundombinu mingine kama flyover na barabara
Sasa umefika muda wa kampeni wananchi wamejitokeza wengi walikuwa wanategemea kusikia maendeleo yanayowagusa watu
Ni kweli miundombinu ni muhimu lakini maendeleo ya watu ni muhimu pia kwa hili Mheshimiwa kuna kila dalili watu itabidi waendelee kukaza mikanda kwa kipindi kingine cha miaka mitano ili miradi ikamilike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa zidiani