Uchaguzi 2020 Tatizo la sera za Rais Magufuli ni kutogusia maendeleo ya watu kwenye kampeni zake

Umenena ukweli 'mpeni mitano mtaona maajabu'. Lakini itahitajika akili ya utaahili wa juu kusubiri mitano kuona 'maajabu' ya kuzidi haya yaliyo oneshwa miaka 5. Hakuna ajira(ajira 6m anazosema ni idadi ya vitambulisho vya wajasiliamali vilivyo uzwa), hakuna Uhuru wa watu, hakuna utawala wa kisheria, hakuna demokrasia nk nk.
 
******** ana roho mbaya sana ni mtu ambaye hapendi kuona mafanikio ya wengine yaninkwa kifupi ndio mchawi mwenyewe uyu
 
Ukiona hivyo ujue wale wasanii 200 wapo kwenye hiyo fiesta,ndo maana kuna nyomi hapo..
 
Aliyeumwa na nyoka,akiguswa na unyasi atashituka tuu.
Watanzania sio wajinga.
Kwani Maendeleo ya Watu ni yapi?
Inaonekna uwezo wa kufikilia wa Mtoa mada ni mdogo saana. Uwekezaji kwa Watu ni kuwawekea watu Mazingira rafiki ya kufanya shughuli zao. Mfano ili Machinga aendelee itambidi amtegemee mfanyabiashara mkubwa ambaye atakuwa na uwezo wa kwenda kwa uraka kufuata bidhaa za jumla kwa kutumia Ndege, Gari, Kuwasiliana kwa kutumia High speed internet n.k.
 
Ethiopia kwa sasa miundombinu yake ni usipime pale Addis Ababa, ni full ma flyover+treni ya umeme na wanajenga bwawa kubwa la umeme nadhani Africa nzima hakuna lakini waethiopia kila siku wanakamatwa kwenye ma lorry huku bongo.
maendeleo ya vitu sio maendeleo ya watu
 
Kwake yeye Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu si vitu vya maana..

Imagine atakwenda Kwao Chato halaf atawaeleza Wale Wanakijiji nimewajengea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa hapa, hamuoni?

Analazimisha Mwananchi wa kwa Mtogole ampende kwa kujenga Daraja la Coco Beach, Dar es Salaam eti

Anataka Mwananchi wa Nzega ampende kwa kujenga Flyovers Dar es Salaam

Anataka Mwananchi wa Simiyu ,Shinyanga na Mwanza amsifie kwa kununua Boeing na Airbus, huku amechoma nyavu zao, amekamata mifugo yao na kuwafilisi kwa madai ya kulinda hifadhi eti...huku hizo hifadhi anakamata na kuwafukuza Wazungu kwa Kisingizio cha Uhujumu Uchumi
 
wamemfata sholo mwamba
 
Hilo tamasha la wasanii,watu wanakuja kuwaona wasanii na bado mnawasomba na maloli
 
Sawa punguani.
 
Ala kumbe Tanzania itakuwa Kama ulaya ok kwa hiyo dah ngoja nije!!.
 
Wewe si usimchague kama sera hazikufai
 
Yeye kazi yake ni kuendeleza nchi, nyie watu jiendelezeni wenyewe. Tatizo mmezoea dezo, hamtaki kujishughulisha, hii nchi ilichezewa sana na mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…