Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

Masterminder

Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
6
Reaction score
8
Ndugu zangu nimekuwa nikipigwa na shoti kwenye kitanda cha chuma wakati napanda au wakati ninaposhuka chini nikigusa chini kunakuwa na shoti.

Tatizo hili linasababishwa na nini na jinsi gani nitatue?

Msaada naomba wakuu.
 
Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.

Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
 
Nitafanyia kazi ushauri wako huo mkuu. Lakini pia aina ya sheet au cover ya godoro haiwezi kuwa tatizo? Maana huwa kwenye shuka la kawaida ipo tatizo
 
I
Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Thought I have seen everything, thanks for wonderful explanations.
 
Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Kibongo bongo tutasema nyumba Ina maruwe ruwe
 
Umenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...
 
Umenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti
Nafikiri jamaa hapo juu ametupa jibu zuri sana. Leo mimi nimebadili aina ya blanketi mwanzoni nilipopanda ilipiga muda mfupi baada ya kutoa blanketi ila usiku haikuwepo kabisa na hata nikiwa na shuka chini nikikanyaga sakafu haipo. Kwa hiyo tatizo ni aina ya sheet na blanketi
 
Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.

Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Sio kwamba kuna electrical leakage kwenye circuit ya umeme kwenye nyumba?
 
Nafikiri jamaa hapo juu ametupa jibu zuri sana. Leo mimi nimebadili aina ya blanketi mwanzoni nilipopanda ilipiga muda mfupi baada ya kutoa blanketi ila usiku haikuwepo kabisa na hata nikiwa na shuka chini nikikanyaga sakafu haipo. Kwa hiyo tatizo ni aina ya sheet na blanketi
Okay asante
 
Umenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...
Wewe unafaa tukupeleke kwenye mradi wetu wa SGR inaonekana una umeme mwingi
 
Umenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...
Inabidi uwekwe maabara kwa muda ufanyiwe utafiti
 
Back
Top Bottom