Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

Tatizo la shoti kwenye vitanda vya Aluminium

Leakage ya umeme, hapana, umeme wa Tanesco ni umeme mkubwa, ukiigusa unakupiga shoti hapo hapo, hausubiri uguse conductor nyingine asubuhi ukiamka.
Niliwahi kuwa na laptop kila nikiweka mapajani nitumie nikawa napata shot. Nikaja kugundua cable ilikuwa mbovu so umeme ulikuwa una spread over the kyboard na hardtop wares zingine. Nilipobadilisha ikawa poa.
 
Umeme unaingia kwenye laptop ni around 12V, unaweza ushika hata kwa mkono, umeme wa Tanesco ni 240V, ukiugusa tu unapigwa shoti ya ukweli muda huo huo, hausubiri uamke, pia tofautisha static na current electricity.
 
Okay na zile nyaya za ndani tunazotimia kuwanyia taa na kuchajia simu zina hiyo hiyo 240kv?
 
Okay na zile nyaya za ndani tunazotimia kuwanyia taa na kuchajia simu zina hiyo hiyo 240kv?
Nyaya za taa ule ni umeme mkubwa, 240v AC , simu na laptop charger zina transform inashusha umeme kutoka 240V AC hadi umeme mdogo 5-15 V DC, depending na devices gani, ndio maana umeme wa simu au laptop unaweza ushike ila umeme wa nyaya ya taa ukigusa unapigwa shoti.
 
Nilisoma jamaa mmoja facebook "Dr.William Mtanzania aishie USA" aliwahi kuandika mada ya vitanda vya chuma kua havifai kwa matumizi ya kulalia. Nilishia aliposema vinapiga shoti...kumbe ni kweli
Asante sana mkuu kwa elimu
 
Mlikimbia Physics ya form 2 kwenye Static Electricity.

Inaitwa Getting Zapped! Na inaonekana una bed sheet of synthetic nature na humidity at your home is too low.

Technically caused by Triboelectric effect caused by static cling >>Electrification by contact .

Sio tu bed sheet au blanket bali hata na baadhi ya nguo , door handles, etc. Ikichangiwa na weather condition (when humidity is too low on that day).

Unapolala na shuka la design iyo, ule msuguano unabadirishana electrons na shuka na unakua na electric field around the tips of your body, (fingers for examples). So ukigusa kitu chochocte cheny low field potential than you then you are a complete circuit for free electrons.

Unaweza pigwa shoti Triboelectric effect hata na kitasa cha mlango endapo umegusa na nguo ya material flani flani *(Synthetic Fabrics).

Au unaposalimiana na mtu kwa kupeana mikono alievaa nguo flani au siku iyo hewa ikiwa dry.

Simple solution nunua bed sheet lenye pure cotton or linen
Au tumia humidifier to balance e- things around you!
 
Umenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...
Umeme wako wa mwilini unahitaji discharge
 
Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.

Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Great and smart answer ...
Shuka za pamba ndiyo zafaa katika mazingira haya. Pure cotton
 
Back
Top Bottom