Masterminder
Member
- Jun 22, 2022
- 6
- 8
Nyumba ambayo haina umeme sijajaribu mkuuHata ukiweka kwenye nyumba ambayo haina umeme???
Nitafanyia kazi ushauri wako huo mkuu. Lakini pia aina ya sheet au cover ya godoro haiwezi kuwa tatizo? Maana huwa kwenye shuka la kawaida ipo tatizoTatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Thought I have seen everything, thanks for wonderful explanations.Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Kibongo bongo tutasema nyumba Ina maruwe ruweTatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Umenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Nafikiri jamaa hapo juu ametupa jibu zuri sana. Leo mimi nimebadili aina ya blanketi mwanzoni nilipopanda ilipiga muda mfupi baada ya kutoa blanketi ila usiku haikuwepo kabisa na hata nikiwa na shuka chini nikikanyaga sakafu haipo. Kwa hiyo tatizo ni aina ya sheet na blanketiUmenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti
Sio kwamba kuna electrical leakage kwenye circuit ya umeme kwenye nyumba?Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.
Okay asanteNafikiri jamaa hapo juu ametupa jibu zuri sana. Leo mimi nimebadili aina ya blanketi mwanzoni nilipopanda ilipiga muda mfupi baada ya kutoa blanketi ila usiku haikuwepo kabisa na hata nikiwa na shuka chini nikikanyaga sakafu haipo. Kwa hiyo tatizo ni aina ya sheet na blanketi
Kwani Tanesco wanasemaje, namba zao za dharura zimo humuNdugu zangu nimekuwa nikipigwa na shoti kwenye kitanda cha chuma wakati napanda au wakati ninaposhuka chini nikigusa chini kunakuwa na shoti.
Tatizo hili linasababishwa na nini na jinsi gani nitatue?
Msaada naomba wakuu.
Wewe unafaa tukupeleke kwenye mradi wetu wa SGR inaonekana una umeme mwingiUmenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...
Inabidi uwekwe maabara kwa muda ufanyiwe utafitiUmenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...
Zima umeme kwenye main switch hapo kwako halafu aungalie kama tatizo bado lipo,Nyumba ambayo haina umeme sijajaribu mkuu
Deeppond bana akili hauna# acha nicheke.Kibongo bongo tutasema nyumba Ina maruwe ruwe