mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Leakage ya umeme, hapana, umeme wa Tanesco ni umeme mkubwa, ukiigusa unakupiga shoti hapo hapo, hausubiri uguse conductor nyingine asubuhi ukiamka.Sio kwamba kuna electrical leakage kwenye circuit ya umeme kwenye nyumba?
Niliwahi kuwa na laptop kila nikiweka mapajani nitumie nikawa napata shot. Nikaja kugundua cable ilikuwa mbovu so umeme ulikuwa una spread over the kyboard na hardtop wares zingine. Nilipobadilisha ikawa poa.Leakage ya umeme, hapana, umeme wa Tanesco ni umeme mkubwa, ukiigusa unakupiga shoti hapo hapo, hausubiri uguse conductor nyingine asubuhi ukiamka.
Eti zindiko baya au kali sanaKibongo bongo tutasema nyumba Ina maruwe ruwe
Kwamba nikaongeze megawatt πππWewe unafaa tukupeleke kwenye mradi wetu wa SGR inaonekana una umeme mwingi
Sio kwamba kuna electrical leakage kwenye circuit ya umeme kwenye nnyu
Hakuna leakage yoyote
Umeme unaingia kwenye laptop ni around 12V, unaweza ushika hata kwa mkono, umeme wa Tanesco ni 240V, ukiugusa tu unapigwa shoti ya ukweli muda huo huo, hausubiri uamke, pia tofautisha static na current electricity.Niliwahi kuwa na laptop kila nikiweka mapajani nitumie nikawa napata shot. Nikaja kugundua cable ilikuwa mbovu so umeme ulikuwa una spread over the kyboard na hardtop wares zingine. Nilipobadilisha ikawa poa.
Okay na zile nyaya za ndani tunazotimia kuwanyia taa na kuchajia simu zina hiyo hiyo 240kv?Umeme unaingia kwenye laptop ni around 12V, unaweza ushika hata kwa mkono, umeme wa Tanesco ni 240V, ukiugusa tu unapigwa shoti ya ukweli muda huo huo, hausubiri uamke, pia tofautisha static na current electricity.
Nyaya za taa ule ni umeme mkubwa, 240v AC , simu na laptop charger zina transform inashusha umeme kutoka 240V AC hadi umeme mdogo 5-15 V DC, depending na devices gani, ndio maana umeme wa simu au laptop unaweza ushike ila umeme wa nyaya ya taa ukigusa unapigwa shoti.Okay na zile nyaya za ndani tunazotimia kuwanyia taa na kuchajia simu zina hiyo hiyo 240kv?
Asante sana mkuu kwa elimuNilisoma jamaa mmoja facebook "Dr.William Mtanzania aishie USA" aliwahi kuandika mada ya vitanda vya chuma kua havifai kwa matumizi ya kulalia. Nilishia aliposema vinapiga shoti...kumbe ni kweli
Umeme wako wa mwilini unahitaji dischargeUmenipa jibu la swali langu la muda mrefu, mimi nikishuka kitandan nikiweka miguu chini nasikia kabisa shoti ya umeme, au kuna kipindi nikigusa ukuta nikiwa sehem tofaut na nyumban nahisi shoti, na baadhi ya mashuka au blanket yananipiga shoti pia...
Great and smart answer ...Tatizo sio kitanda cha Aluminium, tatizo ni static electricity inayotengenezwa mostly na blanket unalotumia wakati unalala, badilisha hilo blanket na hakikisha pia grounding ya nyumba yako ni nzuri.
Mikono ikiwa na static electric charge itajaribu kutoa huo umeme sehemu ya kwanza ambayo ni conductor utakayogusa, so inaweza kutoa hizo charge either kwenye hicho kitanda au kwenye kitasa cha mlango, tibu tatizo kwa kubadili blanket unalotumia na sio kitanda.