Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke.
SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA wanauwezo wa kupambana nalo. SIMBA ikizidiwa umiliki wa mpira kwa asilimia 60 au 70 inapoteza mwelekeo wa kujilinda. Mfano Mechi hizi MBILI ZA RAJA simba ilizidiwa baada ya raja kujua kwamba SIMBA siku zote wanacheza kupitia kwa Tshabalala au Kapombe hii ilipelekea RAJA kupeleka mipira mingi na watu wengi upande wa kushoto na kulia hali iliyoleta shida kwa beki zetu akiwepo ONYANGO. Baada ya kufanyika vile INONGA na ONYANGO wanahama nafasi zao na hii inawapa wapinzani kuleta mipira ktktk kwa uharaka ambapo inonga na onyango wanakuwa wameenda kusaidia beki za pembeni na mwisho wa siku tunafungwa kirahisi sana. Kocha Robertinho alifanyie kazi haraka sana tatizo hili je SIMBA ikizidiwa tunafanyaje kujilinda ndani ya dk 90 kitu ambacho SIMBA walau kidogo PABLO alijaribu kule orlando mwaka JANA.
Mfano tumepangiwa mamelodi ni dhahiri kwamba mamelodi mechi zote iwe away au nyumbani wana umiliki mkubwa wa mpira. Je Simba tunafanyeje kuja na jibu ya hili...tukianzia na mechi ya watani.
Naomba wanasimba walio karibu na msaidizi wa Robertinho hii kitu waifanyie kazi mapema. ONYANGO TUTAMLAUMU kwa sbb hakai kwenye nafasi yake anahama na hili ni tatizo kubwa SIMBA.