THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habarini wanajukwaa la SPORTS.
Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo.
Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke Fergie hatujawa vizur ila ipo siku tunaamini tutakua vizuri.
Tajiri mpya aliekuja kununua share Nae akiulizwa anasema Kabisa Man United huwez ilingaisha na City au liverpool au Asenoo ila mpango wangu nataka kuirudisha United katika ubora wake na kuwapindua hawa...
Unaona kabisa Tajiri kakiri na anajua ukweli so ni lazima abadilike.
The same kwa Barca ya Leo ukiwauliza wanakubali hata XAVI kashasema ni ngumu sana kupambana saiv na Madrid.
Ila turudi sasa kwa Team Lunyasi wao wanaamini tofauti kabisa.
Wanaamini katika Maneno ya Ahmed Ally mbwembwe na Comedy zake.
Wanaamini walivyomtoa Zamalek miaka ya Mzee wa Ruksa wanaamin hata sav itakua hivo kwa kikosi cha kuunga unga hiki.
Wanaamini Kanoute anaweza cheza na kina Dieng wanaamini Chama atatoboa ka kina Hany na yule mzee wa ubavu wa kushoto AHALY.
No Lazima mkubali kwanza saiv hamna huo Ubora na lazima mkubali hata Yanga wapo mbali yenu sana ila mkiweka kukaza kichwa hamuwez jua tatizo lenu na mkajirekebisha.
Mtakua siku zote mnawajaza ujinga mashabiki kua mnaitaka Semi Final wengine hadi wanabeba mabango kua simba isipo fika semi finali wapewe sumu😁😁😁.
Oky I was Here✍️
#SHABIKI LIA LIA WA KOLO🌵